The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,397
- 1,786
hahaha eti personal attack
mwaka huu mtafidia miaka yote mliokula
Ni hatua nzuri kwa TRA kufanya wote wanaoingiza kipato walipe kodi stahiki.Umesema juzi ali-post kitu hapa,anatumia ID gani jf?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha eti personal attack
mwaka huu mtafidia miaka yote mliokula
hata kama kuna ndugu zetu wakamatwe tu hamna namna,Sidhani kama duka tu ndo limemfanya afungiwe duka kwa kutokulipa kodi..mhh jestina alikua anafanya biashara ya kuimport vitu kwa makontena na vijimizigo vidogo vidogo nadhani hii ndo itakua imemletea hii shida..pole yake jaman..ila unaambiwa mwenzio akinyolewa zako tia maji..si ajabu na ndugu zenu wamo kwenye mkumbo huu wa kukwepa kodi..jiandaeniiii na tingatinga mtumbua majipu..