JET LI amkabidhi mkewe umiliki wa mali zake zote

JET LI amkabidhi mkewe umiliki wa mali zake zote

Ni sawa tu.sio kila mwanamke ni muovu, pia kuna watu wake wamechangia pakubwa kwenye maendeleo yao..na kwa huo umri..mnawatoto ambao wote wamekuwa kwenye upendo wa baba na mama- family love, na vingine watu hawasemi usikute kaisha ona umri na afya mgogoro..kamuachia mkewe...
 
Back
Top Bottom