Ana haki ya kumkabidhi Mali na vitu vyake vyote, Kwa maana kutoka waanze mahusiano Mwaka 1988 hadi Kufunga Ndoa Mwaka 1999 inaonesha ametumia miaka 11 kumchunguza na kumjua
Ila angeweza, angekuwa na akiba ya Mali zake Kwa jina lake japo asilimia 25 ya anachomiliki
Hawa wake zetu, hawachelewi kubadirika wakibadirishwa
Unaweza kukuta unaishia kuwa Omba omba pamoja na Mali na fedha nyingi ulizofanikiwa kuzichuma
Kila la heri kwao, miaka 37 ya mahusiano na Ndoa sio mchezo
Huku Kibongo Bongo, Kuna mahusiano hayamalizi miezi 6 tangu Kufunga Ndoa na kuachana 🙌