JET LI amkabidhi mkewe umiliki wa mali zake zote

Vijana wa kiume msio na imani na kila mwanamke bado nyie hamjaona mengi na hamjui undani wa watu hao. Ni hivi wanawake wazuri na wenye utu ndani wapo tena wengi tuu. Dhana za kukaririshana kuwa wanawake wanapenda hela na ni wasaliti baada ya kupata pesa sio. Jichunguzeni hata wanaume pia wanapenda sana hela ila kwa kuzifanyia kazi. Na wapo wanaume ambao ukiwakabidhi hela kama za urithi hutawaona tena yaani wanatelekez kila kitu na hakuna cha maana watakachokifanya. Mke wa Jetli ni JetLi mwenyewe anajua kilichopo moyon mwa mwanamke huyo.
 
May God bless your union sir! Mwenyezi Mungu akutunzie mama/dada yetu!
 
Ila huyo ni wa Jet Li, Hawa wa kwetu sijui wamachame mara wapare ukae kwa akili zote.
 
Ni sahihi na ni dhahiri ni mwanamke mnyenyekevu na msikivu kabisa kwani sio rahisi hawa wa huku kwetu manzese kukusikiliza hata ufanyaje.Kwa ngazi aliyofikia huyo mwanamke kwenye urembo ingekuwa huku kwetu umambie aache kazi utajuta kwa majibu mabovu na ya jeuri atakayokupa.mf:-
"Yaani niache kazi yangu eti nikae nyumbani, hilo haliwezekani maisha yangu yote bora nisiolewe"
Ukosefu wa unyenyekevu na uaminifu unawakosesha wanawake wengi kufurahia maisha, wakibadilika unakuta jua limeshazama.
 
Wachina wana maadili sana na serikali itasaidia kusimamia mali.
 
Baba yangu hakunisomesha international ili niwe mke wa nyumbani.
Haya basi kaolewe na baba yako mgegeduane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…