ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,436
- 4,756
Habari za Wakati huu;
Kuna mambo ukiyatazama kwa mbali na hata kwa ukaribu huwezi kuelewa kabisa.
1. La kwanza ni hili la Tundu Lisu.Tundu Lisu amewekwa Gerezani takribani Mwaka mmoja.Amewekwa Mahabusu.Kesi yake inaonekana kabisa ni kesi isiyo na mashiko wala msingi.Ni kesi ya kubumba.Swali ni Je kwa nini kesi hii inaendelea?Je ni kwa manufaa ya nani?Je ni kwa ajili ya haki,kumkomoa ama ni kwa maslahi mapana ya nchi?
2.Pili kuna swala la Oktoba 29 na yanayoendelea kuhusu Tume.Je ni kweli kwamba kuna kazi kubwa sana ya kutafuta Facts kiasi kwamba sasa inabidi Tusubiri Mwaka mzima kupata mustakabali wa Tume?
3.Tatu ni kuhusu mustakabli wa nchi yetu.Je nchi yetu imeshatoka katika hatari inayoikabili katika mfumo wake hasa kisiasa,kijamii na kiuchumi?
Nimeanza na hayo machache kati ya mengi ili sasa niingie ndani na kuleta hoja na kuwapa changizo watanzania wenzangu ila kwa pamoja tufanye maamuzi.
Taifa la Ghana miaka ile ya 70s wakati Uganda na Tanzania zikipambana na Idi Amini alitokea Mwanamageuzi mmoja aliyeitwa Jerry Rawlings.Jerry Rawlings kwa wanaokumbuka alifanya Jaribio la Uasi ambalo lilishindwa na akahukumiwa Kifo.Hata hivyo akiwa anasubiri kutekelezwa kwa hukumu yako ya Kifo wanajeshi waliamua kubadili GIA angani na kwenda kumtoa Gerezani na kisha wakatangaza kupindua nchi na nadni ya muda mfupi wakawauwa viongozi wote waliokuwa wanahusika na wasioohusika ambao walifumbia macho uaharibifu uliofanywa na viongozi wengine.
Kama wanajeshi wa Tanzania wanaweza wanaweza kututafutia Jerry Rawlings mmoja.A kama hawana Jerry Rawlings kati yao basi wanaweza kuamua tu kwenda kwenye Eneo alilohifadhiwa Tundu Lisu.Wamtoe kwa Utaratibu kisha waweke Utaratibu kama kuna wa kushughulikiwa kwa Risasi washughulikiwe kwa Risasi na wa kupewa Onyo wapewe Onyo.
Swali langu ambalo naliuliza tena ni JE Tanzania inaweza Kupata shujaa wa aina ya Jerry Rawlings au tuendelee kulishana upepo?
Kama ni malalmiko ya wananchi yameshasikika.Kama ni madai yao yamesikika,kilio chao nacho kimesikika.Maswali yao yote yako wazo.Majibu nayo Pia yanfahamika.Je nini kinazuia kupata Vijana machachari waliova sio kama Captain Tesha wa Maneno mengi vitendo zero bali Vijana wa maneno machache yaliyopimwa na yaliyonyooka wafanye Jambo kisha mambo mengine yaendelee.
Nini kinachowazuia?Uoga,Uzembe au labda hakuna Tatizo ni watu tu wameshiba maharagwe wanapiga kelele?Au labda hawan uzalendo wa kutosha zaidi ya uzalendo wa kuvunja tofali na kubeba mizigo mizito wakati wa mazoezi ya siku ya sherehe za uhuru ambao umeondolewa na wananchi wanaishi kwa hofu?
Kama watu ambao wamefunzwa na wanalipwa kwa ajili ya kulinda nchi wanatumika kugaidisha nchi ianwezekana kabisa tukafikiria sasa kabadilisha Jina lao badala yake wawe JWCCM.
Inatafakarisha sana.Inahuzunisha Sana.