chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Ni kweli nimeamini hili kanisa lina mali mingi mno, kama jimbo 1 tu la mkoa wa Pwani ambao wengi wanachukulia ni mkoa wenye waislamu wengi kuliko wakristo parokia ndogo tu 1 inakusanya billion 1 na, vipi kwenye ile mikoa yenyewe wakatoliki wengi?
Kuna kipindi mbunge mmoja wa upande wa pili alikazia katoliki lilipe kodi na akasema laiti kanisa katoliki lingekatwa kodi kwenye mabilioni walionayo kwenye banks mbali mbali nchini na vitega uchumi vyao hilo pato ni karibu robo ya mapato yote ya TRA