Friends and Our Enemies,
Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.
Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na...
Ni kweli nimeamini hili kanisa lina mali mingi mno, kama jimbo 1 tu la mkoa wa Pwani ambao wengi wanachukulia ni mkoa wenye waislamu wengi kuliko wakristo parokia ndogo tu 1 inakusanya billion 1 na, vipi kwenye ile mikoa yenyewe wakatoliki wengi?
Kuna kipindi mbunge mmoja wa upande wa pili...
Hivi maslahi yenu yameguswa? Mbona hamuwi wawazi tukawarudishia wizi wenu. Mtu mzima tena skofu unahubiri siasa eti jk asimshauri rais ni akili kweli hiyo? Rais ni asset ya serikali ndo mana analipwa till death ili atumike kisawasawa. Mboa Pengo alistaafu lakini bado yuko mimbalini na...
BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima.
Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
Miaka kadhaa nyuma aliwahi kutokea padre muasi wa imani ya kanisa katoliki Tanzania.
Padre huyu alikuwa na wafuasi wengi waliomkubali kwa mahubiri yake na hakika alileta changamoto na taharuki kubwa sio tu kwa waumini wa kanisa katoliki lakini pia kwa nchi nzima.
sakata hili lilipelekea...
Tukio la kuvamiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Padri Dkt. Charles Kitima, limeibua maswali mengi miongoni mwa waumini na jamii kwa ujumla.
Katika hali hii, ni muhimu kujiuliza maswali kadhaa kuhusu usalama wake na mazingira aliyokuwa akishi.
1. Usalama...
Wapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki.
Jambo hili haliwezi kufanikiwa kamwe na wanaofanya hivyo watashindwa.
Hivi karibuni Mhe.Rais Samia alipokea barua(memo) kutoka kwa hayati PaPa fransisko ikimtakia heri ya...
Wakati wengine tunachukulia imani poa, Wakatoliki wapo serious wanastahili pongezi.
Sanamu haliachiwi hivihivi tu, linapigiwa magoti kwa nidhamu, linashikwa tumbo kwa adabu, Kisha linabusiwa ubavuni kwa unyenyekevu kama unavyoona kwenye video
Wakatoliki kwenye suala la imani mpewe maua yenu 🙌🙌
Tumsifu Yesu Kristo. Taarifa hii inatolewa na Idara ya Elimu ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2024 kwa shule za Kanisa Katoliki.
Lengo la kutolewa kwa taarifa hii ni kutoa tathmini ya ufaulu wa shule hizo ili kubaini maendeleo ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Niwe muwazi mimi ni muumini wa Kanisa la Waadvetista wasabato ila napenda sana kusiliza nyimbo za kwaya za Kanisa Katoliki
Hivyo siku ya leo kwa heshima kubwa naomba mwenye nyimbo za audios za kwaya maarufu za Kanisa Katoliki tanzania. anipatie
Napendelea zaidi...
Askofu Wolfgang Pisa
Rais Samia kupitia mitandao yake ya kijamii ameandika haya kumpongeza Mhashamu Askofu Wolfgang Pisa
Pongezi za dhati kwa Mhashamu Askofu Wolfgang Pisa, Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Kuchaguliwa kwako...
Wadau hamjamboni nyote?
Niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Bila Kanisa Katoliki:
Ukristo usingeenea Duniani
Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa
Ukristo usingeheshimika
UKRISTO ungefutika na dini ile nyingine ingetawala
Kanisa Katoliki kwa habari ya hapa Duniani ndiye Mlinzi Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.