funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Wapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki.
Jambo hili haliwezi kufanikiwa kamwe na wanaofanya hivyo watashindwa.
Hivi karibuni Mhe.Rais Samia alipokea barua(memo) kutoka kwa hayati PaPa fransisko ikimtakia heri ya siku ya muungano.
Kwa kuwa humu jamvini kwa sasa wamejaa wanatiktok hatukuijadil sisi kama Great thinkers.
Sikumbuki kama kuna Rais aliwahi kupokea memo ya namna hii katika siku hii muhimu kwa Taifa la Tanzania.
Nikijenga hoja katika muktadha huu sioni ni kwa namna gani Serikali ya Rais Samia inaweza kuwa na chembe ya ugomvi na kanisa katoliki au Vatcan.
Ikumbukwe pia yapo matukio muhimu sana ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Vatican yametokea katika utawala wa Rais Samia ila kwa kuwa tumewaachia wahuni kuset agenda za kitaifa hatujadili kama werevu.
Matukio muhimu ambayo yaliwekwa wazi ni pamoja na Mkuu wa Majeshi mstaafu kutembelea Vatican lakini baada ya hapo Rais Samia kukutana na Papa fransisko.
Jiulize ni nani aliyechukia kuona matukio hayo muhimu ya kidiplomasia iwe ni ndani ya nchi au nje ya mipaka yetu au vibaraka wa shetani ?huyo ni wa kumuwinda sana sana.
Kwa ufupi nisisitize kuwa sioni ni namna gani kunaweza kuwa na mfarakano mkali kati ya Serikali na Kanisa katoliki nchini ila ninaona muovu hatari ,mhaini na asiyetakia mema nchi yetu atakuwa anahangaika kuutengeneza mfarakano mkali.
Vyombo vya dola visiishie tu kukamata wahusika bali wanufaika wa wanaotengeneza mfarakano.
Pumzika kwa amani Papa fransisko!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!