Maana yake upo kimazoea zaidimaana yangu nimeshuhudia drama ,malalamiko ,vioja,visingizio na vituko hivi hivi toka 1995 kwa hiyo sishangai bali nakuelimisha.

Serikali yeyote itakayokuwepo madarakani itaendeleza mikataba na mashirikiano yote yaliyopo 🙏🙏 !Wapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki.
Jambo hili haliwezi kufanikiwa kamwe na wanaofanya hivyo watashindwa.
View attachment 3322141
Hivi karibuni Mhe.Rais Samia alipokea barua(memo) kutoka kwa hayati PaPa fransisko ikimtakia heri ya siku ya muungano.
Kwa kuwa humu jamvini kwa sasa wamejaa wanatiktok hatukuijadil sisi kama Great thinkers.
Sikumbuki kama kuna Rais aliwahi kupokea memo ya namna hii katika siku hii muhimu kwa Taifa la Tanzania.
Nikijenga hoja katika muktadha huu sioni ni kwa namna gani Serikali ya Rais Samia inaweza kuwa na chembe ya ugomvi na kanisa katoliki au Vatcan.
Ikumbukwe pia yapo matukio muhimu sana ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Vatican yametokea katika utawala wa Rais Samia ila kwa kuwa tumewaachia wahuni kuset agenda za kitaifa hatujadili kama werevu.
Matukio muhimu ambayo yaliwekwa wazi ni pamoja na Mkuu wa Majeshi mstaafu kutembelea Vatican lakini baada ya hapo Rais Samia kukutana na Papa fransisko.
Jiulize ni nani aliyechukia kuona matukio hayo muhimu ya kidiplomasia iwe ni ndani ya nchi au nje ya mipaka yetu au vibaraka wa shetani ?huyo ni wa kumuwinda sana sana.
View attachment 3322143
Kwa ufupi nisisitize kuwa sioni ni namna gani kunaweza kuwa na mfarakano mkali kati ya Serikali na Kanisa katoliki nchini ila ninaona muovu hatari ,mhaini na asiyetakia mema nchi yetu atakuwa anahangaika kuutengeneza mfarakano mkali.
View attachment 3322145
Vyombo vya dola visiishie tu kukamata wahusika bali wanufaika wa wanaotengeneza mfarakano.
Pumzika kwa amani Papa fransisko!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Huo ndio ukweli na kweli tupu!Serikali yeyote itakayokuwepo madarakani itaendeleza mikataba na mashirikiano yote yaliyopo 🙏🙏 !
Ndivyo inavyokuwaga Serikali zinapo badilika 😳 !
Kwa taarifa yako Samia ndiye aliyeomba kukutana na Pope na sio vice versa usitafute cheap mileage.Wapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki.
Jambo hili haliwezi kufanikiwa kamwe na wanaofanya hivyo watashindwa.
View attachment 3322141
Hivi karibuni Mhe.Rais Samia alipokea barua(memo) kutoka kwa hayati PaPa fransisko ikimtakia heri ya siku ya muungano.
Kwa kuwa humu jamvini kwa sasa wamejaa wanatiktok hatukuijadil sisi kama Great thinkers.
Sikumbuki kama kuna Rais aliwahi kupokea memo ya namna hii katika siku hii muhimu kwa Taifa la Tanzania.
Nikijenga hoja katika muktadha huu sioni ni kwa namna gani Serikali ya Rais Samia inaweza kuwa na chembe ya ugomvi na kanisa katoliki au Vatcan.
Ikumbukwe pia yapo matukio muhimu sana ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Vatican yametokea katika utawala wa Rais Samia ila kwa kuwa tumewaachia wahuni kuset agenda za kitaifa hatujadili kama werevu.
Matukio muhimu ambayo yaliwekwa wazi ni pamoja na Mkuu wa Majeshi mstaafu kutembelea Vatican lakini baada ya hapo Rais Samia kukutana na Papa fransisko.
Jiulize ni nani aliyechukia kuona matukio hayo muhimu ya kidiplomasia iwe ni ndani ya nchi au nje ya mipaka yetu au vibaraka wa shetani ?huyo ni wa kumuwinda sana sana.
View attachment 3322143
Kwa ufupi nisisitize kuwa sioni ni namna gani kunaweza kuwa na mfarakano mkali kati ya Serikali na Kanisa katoliki nchini ila ninaona muovu hatari ,mhaini na asiyetakia mema nchi yetu atakuwa anahangaika kuutengeneza mfarakano mkali.
View attachment 3322145
Vyombo vya dola visiishie tu kukamata wahusika bali wanufaika wa wanaotengeneza mfarakano.
Pumzika kwa amani Papa fransisko!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Duh 🙄 !Unajiita great thinker halafu jina la mtu unaanza kuliandika kwa herufi ndogo [fransisko]! hii ni sawa kweli mjinga wao?
Pia CCM ina ushirikiano wa kudumu na wa bega kwa bega na jeshi la polisi tu sio kanisa, msikiti, hekalu wala sinagogi.
Serikali [CCM] bila polisi ni sawa na TLP ya sasa.
na Papa akakubali !Kwa taarifa yako Samia ndiye aliyeomba kukutana na Pope na sio vice versa usitafute cheap mileage.
Jingalao hawezi kuwa na akili timamu.Wapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki.
Jambo hili haliwezi kufanikiwa kamwe na wanaofanya hivyo watashindwa.
View attachment 3322141
Hivi karibuni Mhe.Rais Samia alipokea barua(memo) kutoka kwa hayati PaPa fransisko ikimtakia heri ya siku ya muungano.
Kwa kuwa humu jamvini kwa sasa wamejaa wanatiktok hatukuijadil sisi kama Great thinkers.
Sikumbuki kama kuna Rais aliwahi kupokea memo ya namna hii katika siku hii muhimu kwa Taifa la Tanzania.
Nikijenga hoja katika muktadha huu sioni ni kwa namna gani Serikali ya Rais Samia inaweza kuwa na chembe ya ugomvi na kanisa katoliki au Vatcan.
Ikumbukwe pia yapo matukio muhimu sana ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Vatican yametokea katika utawala wa Rais Samia ila kwa kuwa tumewaachia wahuni kuset agenda za kitaifa hatujadili kama werevu.
Matukio muhimu ambayo yaliwekwa wazi ni pamoja na Mkuu wa Majeshi mstaafu kutembelea Vatican lakini baada ya hapo Rais Samia kukutana na Papa fransisko.
Jiulize ni nani aliyechukia kuona matukio hayo muhimu ya kidiplomasia iwe ni ndani ya nchi au nje ya mipaka yetu au vibaraka wa shetani ?huyo ni wa kumuwinda sana sana.
View attachment 3322143
Kwa ufupi nisisitize kuwa sioni ni namna gani kunaweza kuwa na mfarakano mkali kati ya Serikali na Kanisa katoliki nchini ila ninaona muovu hatari ,mhaini na asiyetakia mema nchi yetu atakuwa anahangaika kuutengeneza mfarakano mkali.
View attachment 3322145
Vyombo vya dola visiishie tu kukamata wahusika bali wanufaika wa wanaotengeneza mfarakano.
Pumzika kwa amani Papa fransisko!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
CDF hakuenda kama muwskilishi wa Tanzania sawa na Greta (sidhani kwa upeo wako unsmjua,)hakuwakilisha nchi yake. Pope amebusu na kuosha miguu watu wengi nchi nyingi hakuna pumbavu aliyedai sifa kwa nchi yake.na Papa akakubali !
Vipi kuhusu CDF mstaafu?
Vipi kuhusu barua ya heri ya Muungano?
Nimeweka mambo mazito matatu ...usinijibu ki-Instagram kama wale wanaotafuta wachumba ..jibu hoja kwa hoja.
mada hii haujadili na Mange au yule shankupe wa Twitter ..bali unajadili na Great thinker jingalao
kwa hiyo kuna CDF mwengine aliwahi kwenda?CDF hakuenda kama muwskilishi wa Tanzania sawa na Greta (sidhani kwa upeo wako unsmjua,)hakuwakilisha nchi yake. Pope amebusu na kuosha miguu watu wengi nchi nyingi hakuna pumbavu aliyedai sifa kwa nchi yake.
Ama kwa hicho ki memo Kwa ufinyu wa upeo wako hujui hiyo ni normal Kwa nchi zenye mahusiani ya kidiplomasia na Vatican.
Jenga mazoea ya kusoma na kujifunza toka source mbalimbali badala ya kushinda na porojo zako kila uchao JF pekee.
Samia Must Go, hatutaki nchi yetu iweke historia kuwa na Dikteta wa Kwanza Mwanamke dunianiWapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki.
Jambo hili haliwezi kufanikiwa kamwe na wanaofanya hivyo watashindwa.
View attachment 3322141
Hivi karibuni Mhe.Rais Samia alipokea barua(memo) kutoka kwa hayati PaPa fransisko ikimtakia heri ya siku ya muungano.
Kwa kuwa humu jamvini kwa sasa wamejaa wanatiktok hatukuijadil sisi kama Great thinkers.
Sikumbuki kama kuna Rais aliwahi kupokea memo ya namna hii katika siku hii muhimu kwa Taifa la Tanzania.
Nikijenga hoja katika muktadha huu sioni ni kwa namna gani Serikali ya Rais Samia inaweza kuwa na chembe ya ugomvi na kanisa katoliki au Vatcan.
Ikumbukwe pia yapo matukio muhimu sana ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Vatican yametokea katika utawala wa Rais Samia ila kwa kuwa tumewaachia wahuni kuset agenda za kitaifa hatujadili kama werevu.
Matukio muhimu ambayo yaliwekwa wazi ni pamoja na Mkuu wa Majeshi mstaafu kutembelea Vatican lakini baada ya hapo Rais Samia kukutana na Papa fransisko.
Jiulize ni nani aliyechukia kuona matukio hayo muhimu ya kidiplomasia iwe ni ndani ya nchi au nje ya mipaka yetu au vibaraka wa shetani ?huyo ni wa kumuwinda sana sana.
View attachment 3322143
Kwa ufupi nisisitize kuwa sioni ni namna gani kunaweza kuwa na mfarakano mkali kati ya Serikali na Kanisa katoliki nchini ila ninaona muovu hatari ,mhaini na asiyetakia mema nchi yetu atakuwa anahangaika kuutengeneza mfarakano mkali.
View attachment 3322145
Vyombo vya dola visiishie tu kukamata wahusika bali wanufaika wa wanaotengeneza mfarakano.
Pumzika kwa amani Papa fransisko!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
peleka hii takataka kule tiktok na twitter hapa tunataka mjadala wenye facts. when you say samia must go give us clear and intellectual reasons to convice the public na sio kubwatabwata tuSamia Must Go, hatutaki nchi yetu iweke historia kuwa na Dikteta wa Kwanza Mwanamke duniani
Bila katoliki hakuna serikali.Katoliki ndio Serikali yenyewe 😁
Inaonekana waliotekeleza shambulio hawajuiKatoliki ndio Serikali yenyewe 😁
Itakua balaaa maana barua yao husomwa mpk Kijijini 🙌WAKATOLIKI WAMEKUBALIANA HAKUNA KUPIGA KURA
Hii ni aina ya mijadala tuliyoikosa kwa muda mrefu humu jamvini.Kanisa Katoliki halijawahi kuwa adui wa Setikali wala dini yoyote ile au mtu yeyote yule, bali Kanisa Katoliki haliwezi kubariki ushetani, hata kama ushetani huo unafanywa na Serikali.
Tukio la shambulizi kwa Fr Kitima, ni kwa sababu TEC imesimama imara dhidi ya dhuluma. Na mashetani hawataki wakosolewe kwenye ushetani wao.
Waliohusika na shambulizi hili wanafahamika wazi, na walipewa maelekezo na Bashungwa.
Wakati wa sherehe za Idd, mwezi uliopita, hotuba ya Rais Samia ilijaa shutuma dhidi ya viongozi wa dini. Alisema: “mchelea mwana kulia hulia yeye.”
Hotuba hiyo sasa inasambazwa mitandaoni, na baadhi ya watu wanaitumia katika muktadha wa shambulio dhidi ya Padre Charles Kitima lililofanyika jana Kurasini, Dar es Salaam. Fuatilia maelezo haya.
Fr. Kitima, katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), ameshambuliwa siku ambayo TEC ilikuwa na kikao na viongozi wa juu wa BAKWATA, TEC na CCT. Kikao hicho kilikuwa na mpango wa kumwona Rais Samia ili kuzungumzia hali ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu.
Taarifa zinasema kuwa mmoja wa washiriki wa kikao hicho alisaliti wenzake, akatoa taarifa kwa afisa usalama mmoja (ambaye ametamvuliwa kwa jina la Kayombo). Ndipo watu wakatumiwa kufuatilia mambo haya huko TEC Kurasini, ambako Fr. Kitima alivamiwa.
Wakati kikao cha TEC kinaendelea, maafisa wawili wa usalama – (Kayombo na Mkude) – walitumwa na mkuu wao (ajulikanaye kama Fadhili) kukutana na Waziri innocent Bashungwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Baada ya kikao hicho, Bashungwa alitoa tamko akitaka polisi washughulikie “matishio” yote bila woga.
Fr. Kitima aliwekwa kwenye orodha ya watu wanaotajwa kuwa “hatari kwa amani ya nchi.”
Fr. Dr. Charles Kitima
Mwaka jana mwanzoni, afisa mmoja aliyedaiwa kutoka Ikulu, alimwendea mmoja wa wakuu wa TEC akamwambia kuwa Rais Samia amemtuma aiombe TEC imwondoe Fr Kitima kwenye nafasi yake ili maridhiano kati ya TEC na serikali yaweze kukamilika.
Mkuu huyo wa TEC alifikisha ujumbe kwa maaskofu. Walichukia sana na kuamua kumbakiza Fr. Kitima kwa kipindi kingine.
Baadaye, Rais Samia alipelekewa taarifa na watu wake kuwa waliokuwa wanamchonganisha na TEC ni Waziri Angelina Mabula na Makamu wa Rais Dk. Phillip Mpango.
Baada ya Mabula kuondolewa kwenye baraza la mawaziri, tetesi zilisema kuwa hayo yalikuwa matokeo ya ujumbe ambao wapambe walikuwa wamempeleka rais. Baadaye zikaanza kusikika habari kuwa makamu wa rais anatengwa kabisa kiasi cha rais kubadili baraza la mawaziri bila kumhusisha.
Zikasikika taarifa nyingine kuwa wapambe wa DP World walianza kutamba hadharani kuwa “TEC wamekuwa wanajifanya miungu watu, ila safari hii watakoma.” Taarifa zinasema kuwa hata pale Rais Samia aliposubirisha utekelezaji wa mkataba wa DP World, wafanyabiashara wenye maslahi walimshauri: “Ukiacha, TEC watajiona wanakuendesha.”
MIongoni mwa wapambe wa rais wamo ambao wamekuwa wakikwambia mara kwa mara kuwa, “Maaskofu hawana tatizo nawe, bali ni Kitima tu kwa sababu anatoka mkoa mmoja na Lisu.”
Lipo na hili la kesi ya Tundu Lissu. Katika mwaka huu wa uchaguzi, kiongozi wa upinzani amekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uhaini. Kwa maelezo ya kawaida, hizi ni juhudi za mgombea mmoja (Samia) kumwondoa mgombea mwingine mtarajiwa (ambaye hata hivyo, amesema chama chake hakitashiriki uchaguzi bali kitauzuia). Hii inamletea Samia taswira ya dikteta kuliko kiongozi mwanademokrasia.
Kwa sababu ya taswira hii, mitandaoni, baadhi ya watu, hata wanaCCM wenzake, wameanza kupendekeza CCM kitafute mgombea mwingine mwenye mvuto wa kisiasa (kuliko Samia) kabla ya muda kuisha.
Ukatili uliofanywa na vyombo vya dola siku ya kesi ya Lissu nao umemwongezea doa. Baadhi ya wafuasi wa CHADEMA walizuiwa kufika mahakamani, wakapigwa, wengine wakalawitiwa, na picha zao zikasambazwa. Wapo baadhi ya washauri wa rais waliomshauri akae kimya, akakubali.
Sasa baadhi ya wanachama wa chama chake na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanasema kimya hicho ni ishara kuwa aliidhinisha mateso hayo.
Aidha, taarifa zinasema Bashungwa alisisitiza kuwa kesi ya Lissu isikilizwe kwa njia ya mtandao hata kabla ya uamuzi wa mahakama kutolewa rasmi. Tafsiri ya haraka ni kuwa uhuru wa mahakama katika kushughulikia wakosoaji wa serikali umeshaingiliwa.
Kwa mtazamo huu, mbele ya macho ya wengi, Rais Samia anaonekana ni dikteta anayepuuza sheria.
Kitendo hiki kinamwingiza Rais Samia katika orodha ya viongozi wanaotamani mamlaka ya kifalme au kimalkia.
Lipo na hili na vitendo vya utekaji na mauaji vinavyoripotiwa nchini. Vinaelezwa kuwa vinatokana na baadhi ya watu kumshauri Rais Samia kwamba watu hao ni tishio kwake. Na zipo taarifa kuwa baada ya kuwaua, wasaidizi wake humweleza kwamba wahusika wanahojiwa au wameachiliwa.
Hii inaweza kueleza, kwa mfano, sababu ya kimya cha rais katika kutekwa na kuuawa kwa wanaharakati na wanasiasa kadhaa, wakiwemo Deogratias Soka na wenzake, na Ali Kibao.
Hata suala la mkataba wa DP World linatajwa, kwamba limesababisha sintofahamu. Inadaiwa kwamba baadhi ya viongozi, akiwemo makamu wa rais na waziri mkuu, walitengwa katika uamuzi na ushauri kwa Rais Samia.
Chanzo: SAUTI KUBWA
Aiseee acha haya Majina yote wapewe wahusika wa novenaKanisa Katoliki halijawahi kuwa adui wa Setikali wala dini yoyote ile au mtu yeyote yule, bali Kanisa Katoliki haliwezi kubariki ushetani, hata kama ushetani huo unafanywa na Serikali.