Kanisa Katoliki Tanzania lina ushirikiano mkubwa na Serikali kamwe hawatafarakana!

Wapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki.

Jambo hili haliwezi kufanikiwa kamwe na wanaofanya hivyo watashindwa.
View attachment 3322141
Hivi karibuni Mhe.Rais Samia alipokea barua(memo) kutoka kwa hayati PaPa fransisko ikimtakia heri ya siku ya muungano.

Kwa kuwa humu jamvini kwa sasa wamejaa wanatiktok hatukuijadil sisi kama Great thinkers.

Sikumbuki kama kuna Rais aliwahi kupokea memo ya namna hii katika siku hii muhimu kwa Taifa la Tanzania.
Nikijenga hoja katika muktadha huu sioni ni kwa namna gani Serikali ya Rais Samia inaweza kuwa na chembe ya ugomvi na kanisa katoliki au Vatcan.

Ikumbukwe pia yapo matukio muhimu sana ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Vatican yametokea katika utawala wa Rais Samia ila kwa kuwa tumewaachia wahuni kuset agenda za kitaifa hatujadili kama werevu.

Matukio muhimu ambayo yaliwekwa wazi ni pamoja na Mkuu wa Majeshi mstaafu kutembelea Vatican lakini baada ya hapo Rais Samia kukutana na Papa fransisko.

Jiulize ni nani aliyechukia kuona matukio hayo muhimu ya kidiplomasia iwe ni ndani ya nchi au nje ya mipaka yetu au vibaraka wa shetani ?huyo ni wa kumuwinda sana sana.
View attachment 3322143
Kwa ufupi nisisitize kuwa sioni ni namna gani kunaweza kuwa na mfarakano mkali kati ya Serikali na Kanisa katoliki nchini ila ninaona muovu hatari ,mhaini na asiyetakia mema nchi yetu atakuwa anahangaika kuutengeneza mfarakano mkali.
View attachment 3322145
Vyombo vya dola visiishie tu kukamata wahusika bali wanufaika wa wanaotengeneza mfarakano.

Pumzika kwa amani Papa fransisko!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kanisa Katoliki Tanzania linabebwa sana na Serikali ya Tanzania. Hvyo, wanajua kufarakana na Serikali ni sawasawa na kujitia kitanzi!
 
Halibebwi bali limekuwa na ushirikiano mzuri wenye manufaa kwa nchi.
 
Inaonekana waliotekeleza shambulio hawajui
Ndo maana tumesema wamegusa pabaya
Acha tusubiri tamko rasmi
acha hizi spins za watsapp tuache tuijadili hii hoja nzito
 
Wapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki.

Jambo hili haliwezi kufanikiwa kamwe na wanaofanya hivyo watashindwa.
View attachment 3322141
Hivi karibuni Mhe.Rais Samia alipokea barua(memo) kutoka kwa hayati PaPa fransisko ikimtakia heri ya siku ya muungano.

Kwa kuwa humu jamvini kwa sasa wamejaa wanatiktok hatukuijadil sisi kama Great thinkers.

Sikumbuki kama kuna Rais aliwahi kupokea memo ya namna hii katika siku hii muhimu kwa Taifa la Tanzania.
Nikijenga hoja katika muktadha huu sioni ni kwa namna gani Serikali ya Rais Samia inaweza kuwa na chembe ya ugomvi na kanisa katoliki au Vatcan.

Ikumbukwe pia yapo matukio muhimu sana ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Vatican yametokea katika utawala wa Rais Samia ila kwa kuwa tumewaachia wahuni kuset agenda za kitaifa hatujadili kama werevu.

Matukio muhimu ambayo yaliwekwa wazi ni pamoja na Mkuu wa Majeshi mstaafu kutembelea Vatican lakini baada ya hapo Rais Samia kukutana na Papa fransisko.

Jiulize ni nani aliyechukia kuona matukio hayo muhimu ya kidiplomasia iwe ni ndani ya nchi au nje ya mipaka yetu au vibaraka wa shetani ?huyo ni wa kumuwinda sana sana.
View attachment 3322143
Kwa ufupi nisisitize kuwa sioni ni namna gani kunaweza kuwa na mfarakano mkali kati ya Serikali na Kanisa katoliki nchini ila ninaona muovu hatari ,mhaini na asiyetakia mema nchi yetu atakuwa anahangaika kuutengeneza mfarakano mkali.
View attachment 3322145
Vyombo vya dola visiishie tu kukamata wahusika bali wanufaika wa wanaotengeneza mfarakano.

Pumzika kwa amani Papa fransisko!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Ni haramu kwa Mwanamke wa kiislam kushikana mkono na mwanamme asiye mume wake au kaka yake wa kuzaliwa au baba yake mzazi .

Uhusiano wa Kanisa na nchi ya Tanzania haimaanishi kanisa likae kimya watu wanapouawa na kuvunjwa kwa sheria na katiba kila unapofika wakati wa uchaguzi ili tu Mgombea wa CCM ashinde kwa hila na wizi wa kura na rushwa.

Samia analichukia Kanisa katoliki kwa sababu walipinga uuzwaji wa bandari na eneo lote la kurasini .
Lakini pia walipinga kufukuzwa kwa Wakasai kinyama kule Loliondo na wakatoa na sababu nzuri tu na za kihistoria lakini Samia alijaa hasira na chuki kubwa dhidi ya Ukristo hasa kabisa katoliki Tanzania . Hajawahi kujibu hoja za Maaskofu wala kuwaita badala yake aliruhusu kuundwa kwa vikundi vya mawakala wa magaidi kama Shehe Mwaipopo,Mwijaku na shehe Sule kuwajibu kwa dharau na kejeli kubwa .
Yaani mtu anasema maaskofu wanaleta chokochoko halafu unataka tuamini kuwa unajenga mahusiano na kanisa katoliki au unabomoa uhusiano huo uliojengwa kwa miaka mingi na sasa unaubomoa kwa sababu ya utawala wako wa miaka mitatu na kulazimisha mitano tena kisha tuachieni nchi ya Tanganyika iliyogawanyika na kusambaratika !!
 
Kanisa Katoliki Tanzania linabebwa sana na Serikali ya Tanzania. Hvyo, wanajua kufarakana na Serikali ni sawasawa na kujitia kitanzi!

Watu wabadanganywa sana .

Mali za kanisa leo zikirudishwa mbona serikali itayumba sana.

Nyerere alifahya busara kubwa kuijenga Tanganyika moja lakini walipokuja wachawi kutoka Zanzibar na Oman ndio walioanza kuleta siasa za Udini na hawakujali historia kubwa ya kanisa katika kuleta maendeleo baada ya uhuru na kabla ya uhuru .

Uislam ulikuwepo zaidi ya Karne saba lakini hakuna HAWAKUA NA shule zaidi ya kumi tena zote zimejengwa baada ya Mzungu Mkristo kuja Tanganyika. Kama wanabisha leo watuonyeshe Shule za seminari za Kiislam 20 kule Zanzibar au hospitali au chuo kikuu au taasisi yoyote ya kiislam yenye zaidi ya miaka mia mbili maana Uislamu upo Zanzibar zaidi ya karne Saba .

Kwa hiyo kusema eti kanisa linabebwa na serikali ya CCM ni upungufu wa hekima na upumbavu wa kina shehe Mwaipopo na genge lake lake la wachawi na wafuga majini .
Kanisa Anglikana na Lutherani mali zao mpaka leo zimepotea kabisa na kujikuta wakiwa na madeni makubwa sana na serikali haijawahi kuwasadia kulipa kwenye mabenki halafu anasikika mfuga majini na mchawi mmoja akisema ooh kanisa linapewa pesa kwenye mkataba wa MOU .Pumbavu kabisa .
Yaani serikali kuajiri madaktari na kutoa dawa kwa wagonjwa kwenye hospitali za serikali bila kubagua dini ndio pesa zinawafikia wakristo .

Kwa nini hawaangalii jinsi wakristo wamavyoumizwa na michango ya kujenga hizo hospitali halafu waislam wanakuja kupata ajira bure bila kuchangia chochote kwenye ujenzi huo.
Ni mkristo yupi maskini anayepewa pesa na serikali au hata kukopeshwa pesa isiyo na riba kwa sababu ya Ukristo wake na huo mkataba wa kutoa pesa kwa makanisa .

Lakini kama kuna watu binafsi wanaonufaika na serikali na Pesa zake basi ni Waisalam hasa Bakwata .

Wakristo wanachanga kujenga mpaka choo cha kanisa na kila kitu hakuna hata mia inayotoka kwenye mfuko wa serikali .

Na kama kuna fungu linatoka huko kwenye hazina basi muwaulize akina Mwigulu na Samia kuwa zinawanufaishaje wakristo wale maskini ?
Au ndio zinatoka hazina halafu zinaishia kwenye mifuko ya Machawa wanaojificha kwenye ukristo na ukada wa CCM ndio maana hata Rais Muislam anakaa kimya na kuona pesa za kodi ya watanzania wote zinaingizwa kwenye akaunti za Wakristo kuwanufaisha peke yao wakati waislam hawapati kitu ?

Viongozi wa dini ya kikristo nao watoke watuambie WAZI Kama madai ya serikali kutoa pesa kwa makanisa ni ya kweli ili tujue kumbe kuna mabilioni yanatoka halafu wanatusumbua na michango isiyoisha kila mwaka ! Maana hata zikiingia Bil. 50 ni pesa nyingi sana ambazo zinatosha kabisa kuendesha kanisa nila Sadaka .

Na pia serikali ije ijibu kuwa ni kwa nini itoe pesa kwa Wakristo tu lakini isitoe kwa Waislam?
Na Je , kwa wakristo inatoa kwenye madhehebu yapi ?;maana Wakristo wana madhehebu zaidi ya 10 kidogo
 
kwa hiyo kuna CDF mwengine aliwahi kwenda?
je kuna mtanzania mashuhuri ngazi ya serikali aliwahi kwenda kuoshwa miguu if that is the case!
kuhusu memo ...hebu niletee memo za namna hii kipindi cha Nyerere,Mkapa,Mwinyi n.k.
na wewe unaingia kwenye mkumbo kuwa tukio hilo ni la kwaida??
Wakati wa Nyerere, Mwinyi hakuwa papa Francisco na diplomasia kaanzisha yeye.
Wakati ule Papa alipotembelea Tanzania ingekuwa sasa mngedai amekoshwa na Samia
 
Watu wabadanganywa sana .

Mali za kanisa leo zikirudishwa mbona serikali itayumba sana.

Nyerere alifahya busara kubwa kuijenga Tanganyika moja lakini walipokuja wachawi kutoka Zanzibar na Oman ndio walioanza kuleta siasa za Udini na hawakujali historia kubwa ya kanisa katika kuleta maendeleo baada ya uhuru na kabla ya uhuru .

Uislam ulikuwepo zaidi ya Karne saba lakini hakuna HAWAKUA NA shule zaidi ya kumi tena zote zimejengwa baada ya Mzungu Mkristo kuja Tanganyika. Kama wanabisha leo watuonyeshe Shule za seminari za Kiislam 20 kule Zanzibar au hospitali au chuo kikuu au taasisi yoyote ya kiislam yenye zaidi ya miaka mia mbili maana Uislamu upo Zanzibar zaidi ya karne Saba .

Kwa hiyo kusema eti kanisa linabebwa na serikali ya CCM ni upungufu wa hekima na upumbavu wa kina shehe Mwaipopo na genge lake lake la wachawi na wafuga majini .
Kanisa Anglikana na Lutherani mali zao mpaka leo zimepotea kabisa na kujikuta wakiwa na madeni makubwa sana na serikali haijawahi kuwasadia kulipa kwenye mabenki halafu anasikika mfuga majini na mchawi mmoja akisema ooh kanisa linapewa pesa kwenye mkataba wa MOU .Pumbavu kabisa .
Yaani serikali kuajiri madaktari na kutoa dawa kwa wagonjwa kwenye hospitali za serikali bila kubagua dini ndio pesa zinawafikia wakristo .

Kwa nini hawaangalii jinsi wakristo wamavyoumizwa na michango ya kujenga hizo hospitali halafu waislam wanakuja kupata ajira bure bila kuchangia chochote kwenye ujenzi huo.
Ni mkristo yupi maskini anayepewa pesa na serikali au hata kukopeshwa pesa isiyo na riba kwa sababu ya Ukristo wake na huo mkataba wa kutoa pesa kwa makanisa .

Lakini kama kuna watu binafsi wanaonufaika na serikali na Pesa zake basi ni Waisalam hasa Bakwata .

Wakristo wanachanga kujenga mpaka choo cha kanisa na kila kitu hakuna hata mia inayotoka kwenye mfuko wa serikali .

Na kama kuna fungu linatoka huko kwenye hazina basi muwaulize akina Mwigulu na Samia kuwa zinawanufaishaje wakristo wale maskini ?
Au ndio zinatoka hazina halafu zinaishia kwenye mifuko ya Machawa wanaojificha kwenye ukristo na ukada wa CCM ndio maana hata Rais Muislam anakaa kimya na kuona pesa za kodi ya watanzania wote zinaingizwa kwenye akaunti za Wakristo kuwanufaisha peke yao wakati waislam hawapati kitu ?

Viongozi wa dini ya kikristo nao watoke watuambie WAZI Kama madai ya serikali kutoa pesa kwa makanisa ni ya kweli ili tujue kumbe kuna mabilioni yanatoka halafu wanatusumbua na michango isiyoisha kila mwaka ! Maana hata zikiingia Bil. 50 ni pesa nyingi sana ambazo zinatosha kabisa kuendesha kanisa nila Sadaka .

Na pia serikali ije ijibu kuwa ni kwa nini itoe pesa kwa Wakristo tu lakini isitoe kwa Waislam?
Na Je , kwa wakristo inatoa kwenye madhehebu yapi ?;maana Wakristo wana madhehebu zaidi ya 10 kidogo
We pungo hii si mads ya Uislamu na Ukristu 😂.
Tatizo la kunywa mafuta ya Mwamposya limekufanya una harisha ujinga.
 
Wewe ni mavi ya nguruwe .
Soma kwanza alichoandika niliyemjibu sio unakuja huku na kuchanganya uharo na maji ukidhini ni Mtori .
Pumbavu kabisa
We pungo hii si mads ya Uislamu na Ukristu 😂.
Tatizo la kunywa mafuta ya Mwamposya limekufanya una harisha ujinga.
 
Wapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki.

Jambo hili haliwezi kufanikiwa kamwe na wanaofanya hivyo watashindwa.
View attachment 3322141
Hivi karibuni Mhe.Rais Samia alipokea barua(memo) kutoka kwa hayati PaPa fransisko ikimtakia heri ya siku ya muungano.

Kwa kuwa humu jamvini kwa sasa wamejaa wanatiktok hatukuijadil sisi kama Great thinkers.

Sikumbuki kama kuna Rais aliwahi kupokea memo ya namna hii katika siku hii muhimu kwa Taifa la Tanzania.
Nikijenga hoja katika muktadha huu sioni ni kwa namna gani Serikali ya Rais Samia inaweza kuwa na chembe ya ugomvi na kanisa katoliki au Vatcan.

Ikumbukwe pia yapo matukio muhimu sana ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Vatican yametokea katika utawala wa Rais Samia ila kwa kuwa tumewaachia wahuni kuset agenda za kitaifa hatujadili kama werevu.

Matukio muhimu ambayo yaliwekwa wazi ni pamoja na Mkuu wa Majeshi mstaafu kutembelea Vatican lakini baada ya hapo Rais Samia kukutana na Papa fransisko.

Jiulize ni nani aliyechukia kuona matukio hayo muhimu ya kidiplomasia iwe ni ndani ya nchi au nje ya mipaka yetu au vibaraka wa shetani ?huyo ni wa kumuwinda sana sana.
View attachment 3322143
Kwa ufupi nisisitize kuwa sioni ni namna gani kunaweza kuwa na mfarakano mkali kati ya Serikali na Kanisa katoliki nchini ila ninaona muovu hatari ,mhaini na asiyetakia mema nchi yetu atakuwa anahangaika kuutengeneza mfarakano mkali.
View attachment 3322145
Vyombo vya dola visiishie tu kukamata wahusika bali wanufaika wa wanaotengeneza mfarakano.

Pumzika kwa amani Papa fransisko!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Mwambieni kuwa watu wanataka haki. Hizo 4R za majukwaani people are not buying it.
 
Watu wabadanganywa sana .

Mali za kanisa leo zikirudishwa mbona serikali itayumba sana.

Nyerere alifahya busara kubwa kuijenga Tanganyika moja lakini walipokuja wachawi kutoka Zanzibar na Oman ndio walioanza kuleta siasa za Udini na hawakujali historia kubwa ya kanisa katika kuleta maendeleo baada ya uhuru na kabla ya uhuru .

Uislam ulikuwepo zaidi ya Karne saba lakini hakuna HAWAKUA NA shule zaidi ya kumi tena zote zimejengwa baada ya Mzungu Mkristo kuja Tanganyika. Kama wanabisha leo watuonyeshe Shule za seminari za Kiislam 20 kule Zanzibar au hospitali au chuo kikuu au taasisi yoyote ya kiislam yenye zaidi ya miaka mia mbili maana Uislamu upo Zanzibar zaidi ya karne Saba .

Kwa hiyo kusema eti kanisa linabebwa na serikali ya CCM ni upungufu wa hekima na upumbavu wa kina shehe Mwaipopo na genge lake lake la wachawi na wafuga majini .
Kanisa Anglikana na Lutherani mali zao mpaka leo zimepotea kabisa na kujikuta wakiwa na madeni makubwa sana na serikali haijawahi kuwasadia kulipa kwenye mabenki halafu anasikika mfuga majini na mchawi mmoja akisema ooh kanisa linapewa pesa kwenye mkataba wa MOU .Pumbavu kabisa .
Yaani serikali kuajiri madaktari na kutoa dawa kwa wagonjwa kwenye hospitali za serikali bila kubagua dini ndio pesa zinawafikia wakristo .

Kwa nini hawaangalii jinsi wakristo wamavyoumizwa na michango ya kujenga hizo hospitali halafu waislam wanakuja kupata ajira bure bila kuchangia chochote kwenye ujenzi huo.
Ni mkristo yupi maskini anayepewa pesa na serikali au hata kukopeshwa pesa isiyo na riba kwa sababu ya Ukristo wake na huo mkataba wa kutoa pesa kwa makanisa .

Lakini kama kuna watu binafsi wanaonufaika na serikali na Pesa zake basi ni Waisalam hasa Bakwata .

Wakristo wanachanga kujenga mpaka choo cha kanisa na kila kitu hakuna hata mia inayotoka kwenye mfuko wa serikali .

Na kama kuna fungu linatoka huko kwenye hazina basi muwaulize akina Mwigulu na Samia kuwa zinawanufaishaje wakristo wale maskini ?
Au ndio zinatoka hazina halafu zinaishia kwenye mifuko ya Machawa wanaojificha kwenye ukristo na ukada wa CCM ndio maana hata Rais Muislam anakaa kimya na kuona pesa za kodi ya watanzania wote zinaingizwa kwenye akaunti za Wakristo kuwanufaisha peke yao wakati waislam hawapati kitu ?

Viongozi wa dini ya kikristo nao watoke watuambie WAZI Kama madai ya serikali kutoa pesa kwa makanisa ni ya kweli ili tujue kumbe kuna mabilioni yanatoka halafu wanatusumbua na michango isiyoisha kila mwaka ! Maana hata zikiingia Bil. 50 ni pesa nyingi sana ambazo zinatosha kabisa kuendesha kanisa nila Sadaka .

Na pia serikali ije ijibu kuwa ni kwa nini itoe pesa kwa Wakristo tu lakini isitoe kwa Waislam?
Na Je , kwa wakristo inatoa kwenye madhehebu yapi ?;maana Wakristo wana madhehebu zaidi ya 10 kidogo
Hospitali za Kanisa zipo kwasababu ya MOU baina yao na Serikali. La sivyo hospitali zingeishaacha ku operate. Bugando bila mkono wa Serikali nani angelienda kutibiwa!? Kwa gharama ipi?
SAUT ilianza kupanda chati baada ya kuanza kupata ya Wanafunzi kuanza kupata Mikopo. Kabla ya hapo kalikuwa kachuo kadogo sana ila muda mreeeeefu!!
 
Mbona huoni gharama kubwa ya kujenga hizo taasisi halafu serikali kazi yake ni kutoa dawa na kuleta madaktari tu ambapo huajiriwa mpaka waislam .
Mbona shule za kanisa kuna walimu waislam wengi .

Masuala la afya kwa sana mbona kuna bima ya afya na vyuo ni mikopo .

'Unajua kwa mwaka Seikali inapeleka mahujaji wangapi wa Bakwata kuhiji Maka.
Je, uliwahi kusikia Bakwata wakilalamika?

Ndio maana nasema Seikali ya CCM ilichukua mali nyingi sana za kanisa huenda unakaa vijiweni tu hujui . Wakristo hawanaga mambo ya siri ya chinichini kama wengine wanaoamua mpaka kuchoma moto makanisa na kuua maaskofu kwa hasira zilizotokana na serikali wanayoisifia wenyewe .
Kanisa ukikosea wanakuambia .

Kama sio upumbavu hivi hospitali Iliyopo mwanza inamsaidia nini mkristo aliyeko Lindi aliyefunguliwa kesi ya uongo au kutekwa na kuvunjwa miguu.?

Serikali makini inawekeza kwenye afya kwa kununua hizo taasisi za dini ?
Serikali ilitakiwa iwalipe fidia waislam na wakristo kwa kuchukua shule zao maana zilijengwa kwa michango ya sadaka .
Uzembe wa serikali ndo chanzo cha mitafaruku na chuki za kidini maana kuna kundi wanahisi kuwa wakristo wanapewa pesa na serikali kwa ajili ya shughuli za kidini kumbe ni huduma zisizo za kidini kwa wote .

Mbona huulizi mikopo isiyo na riba inayotolewa kupitia benki ya CRDB kwa waislam peke yao . Je, hilo ni sawa ndani ya nchi moja ?

Mahakama ya kadhi kama sio unafiki wa waislam mbona ingepatikana ? Yaani Ilani ya CCM iahidi mahakama ya kadhi halafu wapate ushindi kwa 82% halafu waandae wakristo wa kupinga kisha mnawalaumu Wakatoliki ?
Kwa nini msingeinyima kura CCM kwa utapeli wao huo tena chini ya Rais Muislam ?
 
Hongera TEC kwa kuonesha ukomavu mkubwa
 
Wapo wahuni wanaotaka ku-spin na kuzua dhana ya hovyo kabisa kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Serikali na Kanisa Katoliki.

Jambo hili haliwezi kufanikiwa kamwe na wanaofanya hivyo watashindwa.
View attachment 3322141
Hivi karibuni Mhe.Rais Samia alipokea barua(memo) kutoka kwa hayati PaPa fransisko ikimtakia heri ya siku ya muungano.

Kwa kuwa humu jamvini kwa sasa wamejaa wanatiktok hatukuijadil sisi kama Great thinkers.

Sikumbuki kama kuna Rais aliwahi kupokea memo ya namna hii katika siku hii muhimu kwa Taifa la Tanzania.
Nikijenga hoja katika muktadha huu sioni ni kwa namna gani Serikali ya Rais Samia inaweza kuwa na chembe ya ugomvi na kanisa katoliki au Vatcan.

Ikumbukwe pia yapo matukio muhimu sana ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Vatican yametokea katika utawala wa Rais Samia ila kwa kuwa tumewaachia wahuni kuset agenda za kitaifa hatujadili kama werevu.

Matukio muhimu ambayo yaliwekwa wazi ni pamoja na Mkuu wa Majeshi mstaafu kutembelea Vatican lakini baada ya hapo Rais Samia kukutana na Papa fransisko.

Jiulize ni nani aliyechukia kuona matukio hayo muhimu ya kidiplomasia iwe ni ndani ya nchi au nje ya mipaka yetu au vibaraka wa shetani ?huyo ni wa kumuwinda sana sana.
View attachment 3322143
Kwa ufupi nisisitize kuwa sioni ni namna gani kunaweza kuwa na mfarakano mkali kati ya Serikali na Kanisa katoliki nchini ila ninaona muovu hatari ,mhaini na asiyetakia mema nchi yetu atakuwa anahangaika kuutengeneza mfarakano mkali.
View attachment 3322145
Vyombo vya dola visiishie tu kukamata wahusika bali wanufaika wa wanaotengeneza mfarakano.

Pumzika kwa amani Papa fransisko!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kwa hiyo serikali iendelee kutesa watu na kuua kisa kanisa linashirikiana nayo? We hulijui kanisa. Kama jpm jiwe alipelekeshwa mpaka akafa kwa presha na Mungu akamkataa sembuse samia
 
Ni haramu kwa Mwanamke wa kiislam kushikana mkono na mwanamme asiye mume wake au kaka yake wa kuzaliwa au baba yake mzazi .

Uhusiano wa Kanisa na nchi ya Tanzania haimaanishi kanisa likae kimya watu wanapouawa na kuvunjwa kwa sheria na katiba kila unapofika wakati wa uchaguzi ili tu Mgombea wa CCM ashinde kwa hila na wizi wa kura na rushwa.

Samia analichukia Kanisa katoliki kwa sababu walipinga uuzwaji wa bandari na eneo lote la kurasini .
Lakini pia walipinga kufukuzwa kwa Wakasai kinyama kule Loliondo na wakatoa na sababu nzuri tu na za kihistoria lakini Samia alijaa hasira na chuki kubwa dhidi ya Ukristo hasa kabisa katoliki Tanzania . Hajawahi kujibu hoja za Maaskofu wala kuwaita badala yake aliruhusu kuundwa kwa vikundi vya mawakala wa magaidi kama Shehe Mwaipopo,Mwijaku na shehe Sule kuwajibu kwa dharau na kejeli kubwa .
Yaani mtu anasema maaskofu wanaleta chokochoko halafu unataka tuamini kuwa unajenga mahusiano na kanisa katoliki au unabomoa uhusiano huo uliojengwa kwa miaka mingi na sasa unaubomoa kwa sababu ya utawala wako wa miaka mitatu na kulazimisha mitano tena kisha tuachieni nchi ya Tanganyika iliyogawanyika na kusambaratika !!
Kwamba umeona wivu Papa kushikana mikono na Samia?
Hivi una ushahidi wa Faili lolote lililofika mezani mwa Rais Samia linalohusu maaskofu halafu yeye kwa mkono wake akaagiza kuundwa kwa kikundi cha magaidi??
 
Huo ndio uswahili na ujinga unaotugharimu Waafrika .

Kupiga picha kunasaidia nini Rasilmali zetu kuuzwa kizembe ,Picha inatusaidia nini madai ya kuwa na tume huru isiyotokana na uteuzi wa Mwenyekiti wa CCM peke yake wakati anashiriki uchaguzi ?
 
Back
Top Bottom