funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Miaka kadhaa nyuma aliwahi kutokea padre muasi wa imani ya kanisa katoliki Tanzania.
Padre huyu alikuwa na wafuasi wengi waliomkubali kwa mahubiri yake na hakika alileta changamoto na taharuki kubwa sio tu kwa waumini wa kanisa katoliki lakini pia kwa nchi nzima.
sakata hili lilipelekea wakatoliki wa Tanzania kupiga marufuku kupokea ekaristi wakiwa wamepiga magoti.
Baada ya kufukuzwa alianzisha kanisa lake kama sikosei maeneo ya ubungo.
Je yuko wapi padre Tweve?
Kwa wanaokumbuka sakata hili hebu tujazie ujumbe katika sakata hili .