Padre Nkwera hakuwahi hata siku moja kuukubali uamsho. Alikuwa very traditional. Alitaka namna ile ile ya ibada ambayo ilisaliwa enzi na enzi.
Alitaka watu waiheshimu na kuiabudu Ekaristi takatifu maana ni Yesu Mzima katika maumbo ya mkate na divai. Na hata kutengwa na mkubwa mmoja ni sababu ya kuuliza na kukataa watu wasipokee ekaristi takatifu mikononi, tena mikono ya kushoto.
Muda utasema maana naamini kanisa ni taasisi kubwa kuliko mtu mmoja mmoja. hata kama ni kiongozi. Kuna watu wana interest kubwa ndani na hata nje ya kanisa kujua na kudadisi zaidi kuhusu Padre huyu, na maisha yake.
Kama vile watu walivyo na interest ya kujua Pope Francis na legacy yake..alikuwa nani..ikawaje akafikia kuwa Pope etc.
Kanisa katoliki halijawahi kusinzia wala kulala maana wenye nalo yupo hai kila siku....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.