Kitendo cha serikali kutuma ujumbe wake kwa Papa Vatican kiwe ni ujumbe kwenu kanisa Katoliki Tanzania

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,873
Reaction score
15,267
Friends and Our Enemies,

Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.

Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.

Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.

Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.

Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu

Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.

Pili, serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.

Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.

Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.

Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
 
Hahah...baada ya movie za kina lucy na the like kufeli vibaya sanaa..sasa yameanza kujitokeza yenyewe kuomba pooo....hyo ndo Roma..ikisema haibadilish msimamo...ona wanavyoaibika...nadhan hata alietumwa nafsi inamsuta ila hana jinsi
 
Empty brain!! Mtu mwenye akili timamu huwezi kuandika upuuzi kama huu, halafu ukaamini umeleta mada!!

Kanisa siyo BAKWATA, ambayo ukienda umebeba bahasha ya pesa, unaweza kuwaamrisha wafanye chochotd unachotaka, nao watafanya.

Mleta mada lazima ana ulungufu wa akili, labda umesababishwa na chuki zake za udini.

Kila mwenye akili anafahamu kuwa Kanisa na TEC hawajawahi kuwa na chuki na Serikali hata mara moja. Daima wameshauri Serikali utengeneze na kusimamia mifumo ya haki, lakini ndani ya Serikali kwa sababu yamo mashetani yaliyojaa roho za dhuluma, mtu akitaja tu neno haki, anageuka kuwa adui. TEC iliposhauri wadau wa uchaguzi wakae wajadili kwa pamoja namna ya kufanya marekebisho ya lazima ili kuwezesha uchaguzi kuwa wa haki, na watanzania waingie kwenye uchaguzi wakiwa wamoja, wadhulumu haki walichukia na kuamua kumwua, MUNGU ashukuriwe kwa kumlinda mtumishi wake.

Sasa kama ilivyo kawaida ya shetani, wanazunguka kuuhadaa Ulimwengu, lakini kamwe hawatafanikiwa.
 
Serikali inaongea na mwenye mmbwa ambae ni papa.

Mmbwa mwenyewe hata akiamua kuendelea kubweka anajisumbua tuh
Hamna taarifa sahihi juu ya muundo wa Kanisa na jinsi linavyofanya kazi. Unabaki kufananisha na mifumo yenu ya Kichama na serikali. Mfumo wa Kanisa Katoliki is quitely different.
Haina mambo ya maagizo Toka juu Wala uchawa.
Yeyote anayepata Mamlaka popote hasubiri maagizo Toka juu tayari anafwata misingi ya Kanisa (revealed truths) ambayo tayari amefundishwa na akayasadiki Kwa imani. hamna mambo ya mbwa na mwenye mbwa 😆😆 never. Sijui huyu anakuja na yake never. Alilofundishwa Askofu huyu ndilo Hilo Hilo anafundisha papa na Askofu mwingine.

Kwa akili hii huwezi lielewa Kanisa. Kanisa lilikuwepo na litaendelea kuwepo. Lakini serikali zinapita na kubadilika nchi zina kufa na kuzaliwa, tawala zina kuja na kupita Kanisa lipo linanyoosha tu hilloooo😆 Mwamba imara, misingi thabiti. Nawe utalita Kanisa lipo na misingi yake. Hamna mambo ya Irani humu zaidi ya KWELI YA IMANI.
 
Hahah...baada ya movie za kina lucy na the like kufeli vibaya sanaa..sasa yameanza kujitokeza yenyewe kuomba pooo....hyo ndo Roma..ikisema haibadilish msimamo...ona wanavyoaibika...nadhan hata alietumwa nafsi inamsuta ila hana jinsi

Hizo movie mmezicheza nyinyi wenyewe ili mjenge chuki kwa wananchi

Msichojua serikali ina mkono mrefu kujua ambayo hamyajui

Ruwaichi na kitima walidhani serikali inaweza poteza muda kujibishana na wao.

Serikali inazungumza na boss wao na siyo wao washamba washamba
 
Friends and Our Enemies,

Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.

Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.

Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.

Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.

Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu

Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.

Pili,serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.

Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.

Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.

Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
Akili za kobazi za ajabu sana; yaani unasema huliogopi kanisa Katoliki halafu hapohapo unafunga safari yenye bajeti kubwa kwenda kupiga magoti kwa kanisa katoliki Vatican.

Pia Pitia website ya kanisa katoliki the Vatican news uone ziara ilivyoripotiwa wewe kobazi, mmepigwa za uso. Roma ikiongea mjadala umefungwa hakuna neno hata moja watapunguza kwa yale yalokwisha semwa.
 
Hizo movie mmezicheza nyinyi wenyewe ili mjenge chuki kwa wananchi

Msichojua serikali ina mkono mrefu kujua ambayo hamyajui

Ruwaichi na kitima walidhani serikali inaweza poteza muda kujibishana na wao.

Serikali inazungumza na boss wao na siyo wao washamba washamba
Kalambwe nyoro na abdul huna unachojua..toto rojo rojo tu wew
 
Hamna taarifa sahihi juu ya muundo wa Kanisa na jinsi linavyofanya kazi. Unabaki kufananisha na mifumo yenu ya Kichama na serikali. Mfumo wa Kanisa Katoliki is quitely different.
Haina mambo ya maagizo Toka juu Wala uchawa.
Yeyote anayepata Mamlaka popote hasubiri maagizo Toka juu tayari anafwata misingi ya Kanisa (revealed truths) hamana mambo ya mbwa na mwenye mbwa 😆😆 never.

Kwa akili hii huwezi lielewa Kanisa. Kanisa lilikuwepo na litaendelea kuwepo. Lakini serikali zinapita na kubadilika nchi zina kufa na kuzaliwa, tawala zina kuja na kupita Kanisa lipo linanyoosha tu hilloooo😆 Mwamba imara, misingi thabiti.

Sasa mimi misingi ya makafiri inanihusu nini??

Nyinyi mna dini yenu na mimi nina dini yangu

Nachokueleza ni kwamba hatuongei na hao ngedere sisi...
 
Kalambwe nyoro na abdul huna unachojua..toto rojo rojo tu wew
Nendeni kawafikishieni salamu wale wavaa magauni kwamba

Serikali ni dola na wao wajifunze adabu kwa dola.

Dola inaongea na boss wao vatican na siyo hao na magauni yao yanayonuka mikojo. .
 
Friends and Our Enemies,

Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.

Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.

Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.

Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.

Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu

Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.

Pili,serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.

Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.

Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.

Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
Mke wa Abdul katika ubora wake.
 
Empty brain!! Mtu mwenye akili timamu huwezi kuandika upuuzi kama huu, halafu ukaamini umeleta mada!!

Kanisa siyo BAKWATA, ambayo ukienda umebeba bahasha ya pesa, unaweza kuwaamrisha wafanye chochotd unachotaka, nao watafanya.

Mleta mada lazima ana ulungufu wa akili, labda umesababishwa na chuki zake za udini.

Kila mwenye akili anafahamu kuwa Kanisa na TEC hawajawahi kuwa na chuki na Serikali hata mara moja. Daima wameshauri Serikali utengeneze na kusimamia mifumo ya haki, lakini ndani ya Serikali kwa sababu yamo mashetani yaliyojaa roho za dhuluma, mtu akitaja tu neno haki, anageuka kuwa adui. TEC iliposhauri wadau wa uchaguzi wakae wajadili kwa pamoja namna ya kufanya marekebisho ya lazima ili kuwezesha uchaguzi kuwa wa haki, na watanzania waingie kwenye uchaguzi wakiwa wamoja, wadhulumu haki walichukia na kuamua kumwua, MUNGU ashukuriwe kwa kumlinda mtumishi wake.

Sasa kama ilivyo kawaida ya shetani, wanazunguka kuuhadaa Ulimwengu, lakini kamwe hawatafanikiwa.

Wewe kweli ni kichaa

TEC INAWEZA VIPI KUTOA USHAURI KWA SERIKALI WAKATI HAPO HAPO ILIKUWA INA KAA VIKAO NA CHADEMA KUPANGA MIPANGO YA KAMPENI??

TEC IMESHACHAFUKA NA HAINA MAANA TENA KAA UKIJUA HILO

HATA TAREH 29 OKTOBA TEC ILISHIRIKI KUHAMASISHA FUJO
 
hii mada na huyu jamaa imevuka mipaka yoote alipaswa apigwe ban, hata ustaarabu wala respect kwa wengine hana, kuita Christians mbwa is just too low ..

Lazima akili ziwakae sawa safari hiii

Nyinyi bila kuzinduliwa hamtakaa muone ukweli...so tutaenda sambamba hadi mtubu
 
Back
Top Bottom