Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Unadhani Papa hajui kinachoendelea Tanzania?.
Roman Catholic sio jumuia ya watu wenye elimu ya kubahatisha mzee.

Sawa karibu tupate KIMITOMOTO kabla ya kuanza mfungo. Tukutane pale paSafi sana
Wafikishie salaam wale wavaa magauni wenu
Sawa sawa karibu tupate KITIMOTO kabla hujaanza ramadhani. Tukutane ile ile mitaa yetu mkuuSafi sana
Wafikishie salaam wale wavaa magauni wenu
Kudeal na huyu janaa mleta mada inahitaji ujitoe ufahamu kama yeye.
Huyu jamaa Kila akiamka ni kanisa hivi,akilala kanisa vile.
Hii chuki yake dhidi ya ukristo na kanisa katoroki huyu anaweza kuwa anaweweseka kwenye usingizi akilala.
Ila habari njema kanisa ni lidude likuubwa na mleta mada ni kama punje ya haradari. J tunamsoma kama gazeti la sani na kufunika.
THE BIG SHOW endelea kutukana ukristo na kanisa. Usiache!
Mdini wahedi chawa with zero credibility, potezea tuu hakuna mtu mwenye akili anaweza kusikiliza ugoro wako 🤮🤮🤮Friends and Our Enemies,
Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.
Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.
Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.
Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.
Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu
Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.
Pili,serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.
Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.
Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.
Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
Padre wenu kuna tetesi alikuwa anagombania mwanamke na msamaria mwema mmoja hapo kurasini na ndicho kisa cha kushambuliwa kwake.Sawa. Pamoja na yote, TENDENI HAKI HAKI HAKI, mpunguze kujitetea.
Hao walioenda kwa Papa, wamekumbuka kumwambia kuwa, padre wake ambae ni katibu mkuu wa TEC alishambuliwa na mpaka leo serikali imeshindwa kutoa report ya waliomshambulia? Mmekumbuka kumweleza ukweli kuwa, Kanisa Katoliki Tanzania linapendekeza Approach ya HAKI, UKWELI NA UWAJIBIKAJI kabla ya hayo mnayoyaita maridhiano? Mmemweleza ukweli wa nani aliyetuma wale waliokua wanashoot ovyo watu wakati na baada ya Uchaguzi? Mmemweleza Juu ya hali ya watu kupotea na kutekwa kabla na baada ya Uchaguzi?
Nawakumbusha tuu kuwa, Papa ana taarifa zote kuwahusu nyinyi. Kama isingekua kigezo cha Umri, baada ya ujumbe wenu huo, Pope angempandisha daraja Fr. Dr. Kitima kuwa askofu wa Jimbo Jipya la Songwe.
Utatufanya niniEndeleeni na usenge wenu, ila itafika mahali hatuta vumiliana. Mambo yamebadilika kabisa kumbukeni mnatembea juu ya ardhi mbwa nyny.
Mdini wahedi chawa with zero credibility, potezea tuu hakuna mtu mwenye akili anaweza kusikiliza ugoro wako 🤮🤮🤮
Roma locuta causa finitaHahah...baada ya movie za kina lucy na the like kufeli vibaya sanaa..sasa yameanza kujitokeza yenyewe kuomba pooo....hyo ndo Roma..ikisema haibadilish msimamo...ona wanavyoaibika...nadhan hata alietumwa nafsi inamsuta ila hana jinsi
Friends and Our Enemies,
Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.
Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.
Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.
Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.
Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu
Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.
Pili,serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.
Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.
Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.
Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
Hivi jwa akili yakobunafikiri wamekwenda huko bila akina Luaichi au Kitima kujua!?
Mdini wahedi chawa with zero credibility, potezea tuu hakuna mtu mwenye akili anaweza kusikiliza ugoro wako 🤮🤮🤮
Acha unaa na uchonganishiFriends and Our Enemies,
Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.
Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.
Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.
Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.
Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu
Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.
Pili,serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.
Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.
Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.
Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
Toka umeanza kufirwa na Abdul unajiona kama malkia vile.Friends and Our Enemies,

Itapendeza kama ukileta kilichojadiliwa na maazimio au makubaliano baada ya kukaa na wenye mamlaka.Serikali haiwezi kukaa meza moja na wehu kama kitima au ruwaichi
Serikali ina kaa na wenye mamlaka kama papa.
Ujumbe huu ni kama dole la kati kwa wavaa magauni.