camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
Kwa Nini serikali isiende.Mecca?Hizo hadithi peaneni huko huko parokiani
Teh teh teh
Eti mnadanganyana kwamba vatican wairudishe serikali ije ikae na TEC kwa lipi hasa.
Serikali ina haja gani ya kuzungumza na TEC na kwa lipi??
Serikali haiwezi poteza muda kuongea na wehu
Kwa Papa wamekwenda kufanya Nini?