Kitendo cha serikali kutuma ujumbe wake kwa Papa Vatican kiwe ni ujumbe kwenu kanisa Katoliki Tanzania

Friends and Our Enemies,

Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.

Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.

Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.

Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.

Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu

Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.

Pili, serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.

Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.

Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.

Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
Usichokijua kanisa haliwezi kukubali yanayosemwa na serikali yote ni ya kweli lina njia zake za kupata ukweli wa mambo...
 
Ukimwona Kabudi na Kombo mahali usitarajie matokeo chanya wanajulikana. Kabudi hakuleta kinywaji chenye ulevi alipotumwa na Magufuli Madagascar? Haya huyo Kombo ameleta hata makopo mmoja huko anakotumwa? Wameenda kujiselfie na papa hakuna mtakachopata.
Na papa ana washauri na wapelelezi Kila Kona ya Dunia hivyo usidhani hajui yaliyotokea. Anawazoom tu mjae vizuri ili akibonyeza kitufe kipige kelele kule kwa Trump asiye na simile ndipo bongo zenu zitakaa sawa. Kuwa na subra.

Hizo ni akili za kanisa tuh
 
Hizo ni akili za kanisa tuh
Sawa. Ila elewa kuwa siyo taasisi ya kubanangwa kirahisi na ccm Kama unavyofikiri.
Najua wewe ni muislam mfia dini, ingekuwaje kwako Kama haya wanayotendewa kanisa katoliki ungeyanyamazia na kuchukulia poa? Jibu bila kuwa biased.
 
Kanisa katoliki wanatendewa yepi?
 
Kanisa katoliki wanatendewa yepi?
Ina maana huyajui au unazuga? Hayo matamko na maandamano ya wakristo feki, kutekwa kwa mapadre, kutaa kuuliwa kwa Kitima, maandamano ya yombo na matamko ya rais wako juu ya maaskofu yalikupita kushoto?
 
THE BIG SHOW FOOL, hivi Vatican sio mabeberu??

Hawawaonei wivu uranium yenu kama alivyosema Esther?

Unajisikiaje hao vidampa wa Samia kufunga safari kwenda huko na sio hao Vatican kufunga safari kuwafuata hapo Dar es Salaam?
 
Friends and Our Enemies,

Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.

Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.

Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.

Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.

Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu

Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.

Pili, serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.

Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.

Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.

Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
TAARIFA RASMI YA CPT ( The Catholic Professionals of Tanzania) Kuhusu taarifa ya Waziri wa mambo ya nje Balozi Kombo huko Vatican:

Kwa Niaba ya: Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki – Tanzania

Dr Nagaikaya Thomas M (PhD)
The Catholic Professionals of Tanzania
Dar es Salaam
Tanzania 🇹🇿
📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌

⏩️⏩️Kuhusu: Masuala ya Mahusiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Vatican, Utendaji wa Kanisa Katoliki, na Heshima ya Mifumo ya Kikanisa:

✝️✝️✝️Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki, kikiwa ni jumuiya ya wasomi na wataalamu wanaolihudumia Kanisa kwa uaminifu wa kiakili, kimaadili na kitaasisi, kinatoa taarifa hii rasmi ya maoni kwa umma, kwa nia ya kuweka sawa uelewa wa kweli kuhusu namna Kanisa Katoliki linavyofanya kazi, nafasi yake katika jamii, na mahusiano yake na dola na taasisi za kimataifa.

✅️1. Kanisa Katoliki ni Taasisi ya Kisheria, Kihierarkia na Kitaaluma:

⚛️⚛️Kanisa Katoliki si jukwaa la maigizo ya kisiasa wala taasisi inayoweza kushughulikiwa kwa mbinu za mkato. Ni taasisi ya kale yenye sheria zake (Canon Law), nidhamu ya juu, na muundo wa ki-hierarchical unaoheshimika duniani kote. Maamuzi, mawasiliano na mahusiano yake hufuata taratibu zilizoainishwa wazi na zinazotambulika kimataifa.

✅️✅️2. Vatican na Njia Halali za Mawasiliano ya Kikanisa:

🎓🪣Ni msimamo wetu wa kitaaluma kwamba Vatican haifanyi kazi nje ya mifumo halali ya Kanisa. Papa, kama Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki, hapokei taarifa, wala kufanya maamuzi, nje ya sheria na taratibu za Kanisa.
💄💄Kwa Tanzania, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ndicho chombo halali cha mawasiliano kati ya Kanisa la ndani na Vatican. Kupitia TEC, taarifa huandaliwa, kuchambuliwa na kuwasilishwa kwa uhalali unaotambulika.
🧪🧪 Ndani ya mfumo huo, Katibu Mkuu wa TEC (Padre Dr Charles Kitima) ndiye msimamizi wa kitaasisi wa mtiririko wa taarifa na mawasiliano ya Kikanisa.

🔋🔋Kwa hiyo, kuruka ngazi na kutegemea mapokezi chanya Vatican bila kupitia TEC ni kinyume na utamaduni, sheria na utendaji wa Kanisa Katoliki.

✅️✅️✅️3. Kanisa Katoliki Lina Mtandao Mpana wa Taarifa Duniani:

⏩️⏩️Ni muhimu kukumbusha kuwa Kanisa Katoliki lina mtandao mpana wa taarifa katika kila kona ya dunia kupitia Maaskofu, Mabalozi wa Kitume (Apostolic Nuncios), taasisi za haki za binadamu, mashirika ya kijamii, na waamini wake.

🎩🎩Kwa mantiki hiyo, Kanisa haliwezi kudanganywa kwa simulizi za juu juu, propaganda au taarifa zilizochujwa.

✅️✅️✅️✅️4. Wajibu wa Serikali Kuheshimu Kanisa na Kulinda Heshima yake:

🐓🐓Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki kinasisitiza kuwa heshima ya Kanisa huanza ndani ya nchi. Kabla ya jitihada zozote za kidiplomasia nje ya mipaka, kulikuwa na wajibu wa kushughulikia:

📌Vitendo vya uzushi, kejeli na udhalilishaji wa Kanisa Katoliki vinavyofanywa na makundi yanayojitambulisha kama “Wakatoliki” bila uhalali wa Kikanisa,

📌📌Makundi ambayo kwa matendo yao yanalichafua Kanisa na kuwapotosha waumini,

📌📌📌Na kuhakikisha kuwa hakuna ulinzi wa kisiasa unaotolewa kwa vitendo vinavyodhalilisha Kanisa, hata pale wahusika wanapojificha chini ya taswira za vyama vya siasa.

📌📌📌📌Hatua hizi ndizo zingetoa ishara ya kweli kwamba serikali na chama tawala vinajitenga wazi na udhalilishaji wa Kanisa Katoliki.

✅️✅️✅️✅️✅️5. Msisitizo wa Vatican: Haki, Ukweli na Uponyaji wa Taifa:

🫑🫑Kwa mujibu wa taarifa sahihi zilizopo Vatican, msimamo wa Holy See umejikita katika misingi ya haki na ukweli, ikiwemo:

📌Wito wa kuitisha uchunguzi huru wa kimataifa na wa haki kuhusu matukio ya uchaguzi wa Oktoba 29 na siku zilizofuata,

📌📌Na kusisitiza kuwa matokeo ya uchunguzi huo yatumike kuliponya taifa, kukuza maridhiano, na kurejesha imani ya wananchi katika mifumo ya haki na demokrasia.

🎚🎚🎚Huu ni msimamo wa kudumu wa Kanisa Katoliki duniani kote: amani ya kweli haiwezi kujengwa bila haki.

6. Hitimisho:

✅️✅️✅️Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki kinapenda kuweka bayana kwamba:

✝️Kanisa Katoliki halirukiwi ngazi; linaheshimiwa kwa kufuata taratibu zake,

✝️✝️Halifanyi kazi kwa picha, kauli au shinikizo la kisiasa,

✝️✝️✝️Na litasimama daima upande wa haki, ukweli, na utu wa binadamu, hata pale msimamo huo unapokuwa mgumu kisiasa.

📌📌📌📌Tunatoa wito kwa wadau wote serikali, vyama vya siasa na jamii kwa ujumla kuliheshimu Kanisa Katoliki kama taasisi huru, ya kimaadili na ya kitaasisi, na kushirikiana nalo kwa uaminifu, ukweli na kwa njia halali.

Imetolewa na:
Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki (CPT)– Tanzania
🎚🎚🎚Kwa ajili ya haki, ukweli, na ustawi wa Taifa.
 
Maskini kilaza wewe ,hata hujui taratibu za Catholic sikoje
 
Mnavyojipendekeza kwa kanisa katoliki halafu mnatengeneza waumini feki, ile ni taasisi iliyokamilika kila mnachofanya wanajua kabla sasa tuone na maphd yenu feki na form four failue
 
Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.
images (9) - 2022-05-11T165831.838.jpeg
 
Hizo hadithi peaneni huko huko parokiani

Teh teh teh

Eti mnadanganyana kwamba vatican wairudishe serikali ije ikae na TEC kwa lipi hasa.

Serikali ina haja gani ya kuzungumza na TEC na kwa lipi??

Serikali haiwezi poteza muda kuongea na wehu
Wala TEC hawana haja ya mazungumzo chief. Ushawah kuwaona wanataka wao kuzungumza zaid yenu.
 
Friends and Our Enemies,

Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.

Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.

Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.

Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.

Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu

Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.

Pili, serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.

Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.

Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.

Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
Kwa nini mnahangaika na kanisa katoliki? Makanisa yapo mengi sana, KKKT ni wa kwenu, Angalikana, Moravian, AICT, Babtist, na makabisa yoteee ya walokole. Hawa wotee wanawaunga mkono.. kwa nin msipoungwa mkono mnaugua kifafa??
Huwezi kupambana na Kanisa katoliki ukashinda, hii vita ni ngum sana.

Mnapigwa nyaraka tu mnaanza kuweweseka, kule nchini Congo Maaskofu wa kanisa katoliki waliandamana kupinga mambo kadhaa yaliyokuwa yanafanywa na serikali, na Serikali ilikubali kuyafanyia kazi.
Inabid mtulie muendelee kupigwa nyaraka
 
Friends and Our Enemies,

Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.

Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.

Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.

Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.

Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu

Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.

Pili, serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.

Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.

Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.

Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
Wewe Lofa, umesikia Papa alivyoisiliba serikali?
 
Utakuta huko uislamuni kwenu inaonekana booonge la kichwa yaani.
Genius la hatari!
 
Kuna papa wawili ,mtendaji mkuu na mwombea amani wewe unamzungumzia yupi
 
Padre wenu kuna tetesi alikuwa anagombania mwanamke na msamaria mwema mmoja hapo kurasini na ndicho kisa cha kushambuliwa kwake.

Serikali imejiweka pembeni apambane na hali yake.

Wapeni ruhusa hawa vichaa waoe...maisha ya kupiga nyeto yamewashinda.
Kama ndivyo, kwa nini hamkutoa taarifa rasmi kama mlivyokua mmejinasibu?
Mmekumbuka kumwambia Papa juu ya hilo pia?
Mmeona aibu kuungama kwa Maaskofu wa Tanzania, mkaona rahisi kwenda kuungama kwa askofu mkuu wa Roma. Mmekumbuka kuzitaja dhambi zenu zote? Kumbukeni, dhambi haisamehewi kwa kuipotezea ila kwa kukiri kwa kinywa mbele ya mashahidi na kuweka ahadi ya kutorudia tena.
 
Sema mnajieleza sana. There should be costs to be paid.
 
Shehe mwaipopo na kishiki wanasemaje kuhusu ziara hiyo
 
Back
Top Bottom