Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
Lazima akili ziwakae sawa safari hiii
Nyinyi bila kuzinduliwa hamtakaa muone ukweli...so tutaenda sambamba hadi mtubu
lkn kwa nini unaita Christians mbwa? ...

Kama hujui acha kujifanya mjuaji wa kukabiliana na kitu usichokuwa na uelewa nacho utatumbulia shimoni. Kipofu unataka uongoze watu njia kweli?Sasa mimi misingi ya makafiri inanihusu nini??
Nyinyi mna dini yenu na mimi nina dini yangu
Nachokueleza ni kwamba hatuongei na hao ngedere sisi...
Unatambua kuwa TEC ilikua ina kaa vikao vya siri na chadema katika masuala ya siasa??Kama hujui acha kujifanya mjuaji wa kukabiliana na kitu usichokuwa na uelewa nacho utatumbulia shimoni. Kipofu unataka uongoze watu njia kweli?
Kitu hujui hata papa yupo chini ya Maaskofu nyie ndo mlitumwa kupanda maua
lkn kwa nini unaita Christians mbwa? ...
Umesema hujui misingi, mifumo na taratibu za Kanisa kwasababu haupo huko. Hauoni unajipingawenyewe Sasa. Haya umeyajuaje tena.Unatambua kuwa TEC ilikua ina kaa vikao vya siri na chadema katika masuala ya siasa??
Kabla vibaraka wa Samia wako hawajaenda majesuit washamjuza kila kitu cha bongo, na kuwa samia anaumeme mdogo anaongea kile anatenda kile.Serikali inaongea na mwenye mmbwa ambae ni papa.
Mmbwa mwenyewe hata akiamua kuendelea kubweka anajisumbua tuh
Umesema hujui misingi, mifumo na taratibu za Kanisa kwasababu haupo huko. Hauoni unajipingawenyewe Sasa. Haya umeyajuaje tena.
Don't contradict yourself man.
Weka ushahidi pussyhole wewe.Unajua TEC ilikua inafanya vikao vya siri na chadema??
You know nothing about Catholic. Keep quiet.Unajua TEC ilikua inafanya vikao vya siri na chadema??
BIG CHAWA tatizo umewehuka, Watanzania na wakatoliki ndo wanajua mbivu na mbichi ya kikichotokea 29.. Huwezi kuficha uchafu uliofanya kwa kujisafisha Vatican.... Nikuulize JF imefugwa na serikali kuingia humu lazima kutumia VPN we BIG CHAWA kutwa upo hapa kuikingia kifua serikali iliyozuia jamiiforums , hujioni kwamba umechanganyikiwa na waliokutuma uwepo hapa..Serikali imewaonesha kanisa katoliki kuwa inazungumza na boss wao na siyo wao wanuka mikojo
Sawa. Pamoja na yote, TENDENI HAKI HAKI HAKI, mpunguze kujitetea.Friends and Our Enemies,
Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.
Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.
Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.
Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.
Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu
Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.
Pili,serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.
Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.
Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.
Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
Sawa mchepuko wa abduNendeni kawafikishieni salamu wale wavaa magauni kwamba
Serikali ni dola na wao wajifunze adabu kwa dola.
Dola inaongea na boss wao vatican na siyo hao na magauni yao yanayonuka mikojo. .
Walienda kumshtaki Father KITIMAFriends and Our Enemies,
Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.
Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.
Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.
Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.
Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu
Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.
Pili,serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.
Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.
Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.
Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
We kweli bwege...unafikiri kanisa katoliki ni kama bakwata? HiloFriends and Our Enemies,

Umesoma Vatican News? wewe kweli taahira. Yaani mijitu imetapakaa damu halafu inapeleka mata.ko yao vatican nawe unaona ni jambo la maana.? Information za mauaji ambazo wanazo akina kitima na TEC, papa pia anazo...Friends and Our Enemies,
Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.
Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.
Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.
Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.
Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu
Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.
Pili,serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.
Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.
Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.
Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
Hizo movie mmezicheza nyinyi wenyewe ili mjenge chuki kwa wananchi
Msichojua serikali ina mkono mrefu kujua ambayo hamyajui
Ruwaichi na kitima walidhani serikali inaweza poteza muda kujibishana na wao.
Serikali inazungumza na boss wao na siyo wao washamba washamba