chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Kwa akili zako unaona 1billion ni hera nyingi wakati mwaposa anaikusanya ndani ya siku moja, Gwajima hiyo pesa ni ya maonbi ya masaa, kweli watu wajinga sana.Ni kweli nimeamini hili kanisa lina mali mingi mno, kama jimbo 1 tu la mkoa wa Pwani ambao wengi wanachukulia ni mkoa wenye waislamu wengi kuliko wakristo parokia ndogo tu 1 inakusanya billion 1 na, vipi kwenye ile mikoa yenyewe wakatoliki wengi?
Kuna kipindi mbunge mmoja wa upande wa pili alikazia katoliki lilipe kodi na akasema laiti kanisa katoliki lingekatwa kodi kwenye mabilioni walionayo kwenye banks mbali mbali nchini na vitega uchumi vyao hilo pato ni karibu robo ya mapato yote ya TRA
View attachment 3506381
Ukate kodi kwenye sadaka za waumini? Kwani serikali ndio inayotoa huduma za kiroho mpaka ikate kodi?Ni kweli nimeamini hili kanisa lina mali mingi mno, kama jimbo 1 tu la mkoa wa Pwani ambao wengi wanachukulia ni mkoa wenye waislamu wengi kuliko wakristo parokia ndogo tu 1 inakusanya billion 1 na, vipi kwenye ile mikoa yenyewe wakatoliki wengi?
Kuna kipindi mbunge mmoja wa upande wa pili alikazia katoliki lilipe kodi na akasema laiti kanisa katoliki lingekatwa kodi kwenye mabilioni walionayo kwenye banks mbali mbali nchini na vitega uchumi vyao hilo pato ni karibu robo ya mapato yote ya TRA
View attachment 3506381
Hapo bado KKKT hawajasoma mapato yao wavaa kobaz wataikimbia nchiNi kweli nimeamini hili kanisa lina mali mingi mno, kama jimbo 1 tu la mkoa wa Pwani ambao wengi wanachukulia ni mkoa wenye waislamu wengi kuliko wakristo parokia ndogo tu 1 inakusanya billion 1 na, vipi kwenye ile mikoa yenyewe wakatoliki wengi?
Kuna kipindi mbunge mmoja wa upande wa pili alikazia katoliki lilipe kodi na akasema laiti kanisa katoliki lingekatwa kodi kwenye mabilioni walionayo kwenye banks mbali mbali nchini na vitega uchumi vyao hilo pato ni karibu robo ya mapato yote ya TRA
View attachment 3506381
Kazi ya BAKWATA ni nini?Waislamu wanarudishwa nyuma na hiyo taasisi ya CCM.....Ni kweli nimeamini hili kanisa lina mali mingi mno, kama jimbo 1 tu la mkoa wa Pwani ambao wengi wanachukulia ni mkoa wenye waislamu wengi kuliko wakristo parokia ndogo tu 1 inakusanya billion 1 na, vipi kwenye ile mikoa yenyewe wakatoliki wengi?
Kuna kipindi mbunge mmoja wa upande wa pili alikazia katoliki lilipe kodi na akasema laiti kanisa katoliki lingekatwa kodi kwenye mabilioni walionayo kwenye banks mbali mbali nchini na vitega uchumi vyao hilo pato ni karibu robo ya mapato yote ya TRA
View attachment 3506381
Halafu hawana kelele, maana mpunga haukai kwenye keleleparokia ndogo tu 1 inakusanya billion 1
Walipe KodiNi kweli nimeamini hili kanisa lina mali mingi mno, kama jimbo 1 tu la mkoa wa Pwani ambao wengi wanachukulia ni mkoa wenye waislamu wengi kuliko wakristo parokia ndogo tu 1 inakusanya billion 1 na, vipi kwenye ile mikoa yenyewe wakatoliki wengi?
Kuna kipindi mbunge mmoja wa upande wa pili alikazia katoliki lilipe kodi na akasema laiti kanisa katoliki lingekatwa kodi kwenye mabilioni walionayo kwenye banks mbali mbali nchini na vitega uchumi vyao hilo pato ni karibu robo ya mapato yote ya TRA
View attachment 3506381
Wanatoa sadaka bila kudanganywa miujiza na utjiri๐๐๐Hizo ni sadaka na zaka za waumini wao.
Na kwa sababu kanisa halijawahi kusaliti kwenye mahitaji ya waumini wao ikiwemo kusimama nao katika HAKI, ndiyo maana hao waumini wana imani thabiti na kanisa mpaka wanachangia mabilioni "willingly".
Siku serikali ikianza figisu, na waumini watakata mrija wa kuchangia.
Wanatoa kwa roho saaafiii๐๐๐Wanatoa sadaka bila kudanganywa miujiza na utjiri๐๐๐
Unajua maana ya Parokia? Ni wapi huko Parokia ndogo tu imekusanya 1 b?parokia ndogo tu 1 inakusanya billion 1 na, vipi kwenye ile mikoa yenyewe wakatoliki wengi?
Na hapo sasa hujasikia mabuni ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam!Kuna kipindi mbunge mmoja wa upande wa pili alikazia katoliki lilipe kodi na akasema laiti kanisa katoliki lingekatwa kodi kwenye mabilioni walionayo kwenye banks mbali mbali nchini na vitega uchumi vyao hilo pato ni karibu robo ya mapato yote ya TRA
View attachment 3506381
Ukitaka kujifunza utaratibu "law and order " kanisa katoliki ni darasa zuri sana. Angalia walivyoandaa mazishi ya papa francis kwa muda mfupi na kupokea wageni takribani laki nne kwenye misa pale st peter's square ila hakukuwa na mtu alielalamika kukanyagwa au kuibiwa simu.Ni kweli nimeamini hili kanisa lina mali mingi mno, kama jimbo 1 tu la mkoa wa Pwani ambao wengi wanachukulia ni mkoa wenye waislamu wengi kuliko wakristo parokia ndogo tu 1 inakusanya billion 1 na, vipi kwenye ile mikoa yenyewe wakatoliki wengi?