wavaa kobazi hawajui utoaji zaidi ya sadka, sadka zenyewe wanatoa masilesile, kwa hali hiyo hatapiga hatua za maendeleo kama si kusaidiwa na waarabu kujenga misikiti na visima vya maji. Hawana moyo wa utoaji sadaka zao ni ndogondogo ukilinganisha na utoaji wa wakristo.Hapo bado KKKT hawajasoma mapato yao wavaa kobaz wataikimbia nchi
Kwa hiyo mwaka huu tyr anabilioni 300+.Kwa akili zako unaona 1billion ni hera nyingi wakati mwaposa anaikusanya ndani ya siku moja, Gwajima hiyo pesa ni ya maonbi ya masaa, kweli watu wajinga sana.
Hapo bado Zaka na michango mingine...pia issue ndogondogo kama kupanua/kunnua viwanja vya makanisa huwa mara nyingi huwa tunajichanga tu wenyewe....mfano parokia yetu hapa tuna jumiya 37 na tumekusanya mavuno mwaka huu 200M....halafu utasikia shehe mkata vichea anaanza kuleta umbeya kama akina mariam wa uswazi food na kitasa sijui juma lokole na nini....msione vyaelea vimeundwa...shindeni mnadidanganya kwenye kahawa tuNi kweli nimeamini hili kanisa lina mali mingi mno, kama jimbo 1 tu la mkoa wa Pwani ambao wengi wanachukulia ni mkoa wenye waislamu wengi kuliko wakristo parokia ndogo tu 1 inakusanya billion 1 na, vipi kwenye ile mikoa yenyewe wakatoliki wengi?
Kuna kipindi mbunge mmoja wa upande wa pili alikazia katoliki lilipe kodi na akasema laiti kanisa katoliki lingekatwa kodi kwenye mabilioni walionayo kwenye banks mbali mbali nchini na vitega uchumi vyao hilo pato ni karibu robo ya mapato yote ya TRA
View attachment 3506381
Hayo ni mavuno tu ndugu yangu...unajua kuna misa ngapi kwa wiki kwenye makanisa yote...unajua kuna sadaka ngapi kwenye misa za jumapili? Akili ndigo ni yakoKwa akili zako unaona 1billion ni hera nyingi wakati mwaposa anaikusanya ndani ya siku moja, Gwajima hiyo pesa ni ya maonbi ya masaa, kweli watu wajinga sana.
sadaka za parokia nyingi ni milioni 2 kwa wiki hii bilioni 1 ilijumuisha michango kutoka waumini nchi nzima.
Usipotoshe ukweli
Unaelewa maana ya mavuno kweli? Wewe ni mkatoliki? Waulize wakatliki watakwambia mavuno nini?Kwa akili zako unaona 1billion ni hera nyingi wakati mwaposa anaikusanya ndani ya siku moja, Gwajima hiyo pesa ni ya maonbi ya masaa, kweli watu wajinga sana.
Unaelewa maana ya mavuno kweli? Wewe ni mkatoliki? Waulize wakatliki watakwambia mavuno nini?
Hiyo pesa ni nje ya sadaka na zaka ambayo kila parokia.Majkanisauliyoyataja hawana kiytu kinachoitwa mavuno .
Sadaka kwa wiki moja ndani ya jimbo la DAR ES SALAM lenye parokia 60 ina kusanya TSH 300M. Hayo makanisa hayana uwezo wa kupata tsh 300,0000/- kwa Ibada moja.
Kwa mwezi kanisa katoliki hukusanya TSH 9B .M