Jezi ipi kali kati ya Simba na Yanga?

Jezi ipi kali kati ya Simba na Yanga?

Simba wanajezi kali na wameuza sana kwa walaji/mshabiki.jezi zimepatikana kwa wakati na sehemu zinazofahamika kwa vunja bei.
 
Jezi la mikia ubunifu 0,jezi gani hilo,mo foundation,mo 29,mo chungwa,mo coconut,,vunja bei sinza,vunja bei mbeya,mpk soksi zina mo foundation,jezi ina full makolokolo,halafu mkiitwa makolokolo fc mnanuna! Shadeeya njoo uone jezi za mikia
Uto vilaza sana. Kwako matangazo ndio ubunifu
 
Steven
Truth be told...ushabiki kando

Timu zote zina jezi kali (home and away kits), kasoro kidogo tu kwenye jezi ya Simba ni hayo maneno kuzunguka ufito wa kola hapo mbele...

Kit ya Yanga ile njano na Simba ile nyeupe, binafsi naziona zitauzika sana kwa mashabiki maana zinavalika...

Kit #3 na ile ya michezo ya kimataifa, timu zote hazijaitendea haki hiyo kit...

Kwa ujumla tumejitahidi sana wabongo kwenye masuala ya jezi, kwa walio wapenzi wa mpira wa miaka yote mnaweza mkakumbuka yale majezi ya zamani ya timu zetu, mtu kama Kevin Mapunda alikuwa akivaa jezi utadhani kashonewa nguo iliyomzidi umri...
/Stephen Mapunda
 
Back
Top Bottom