Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu mpya wa 2025/2026

Greatest Of All Time

Platinum Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,550
Reaction score
62,019
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Bayern Munic.

Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali.

Karibu...
 
Naona Adidas msimu huu design yao kuu ya jezi wamechukua sample ya jezi ya Chelsea miaka ya 2007 na kuModify kidogo .View attachment 3330297
Uliona uzi wa Madrid ya wakina Robinho kama sikosei? Na hiyo Chelsea yz Akina Ashley














Kumbuka mzabuni ni mmoja, hivyo ameamua kuchukua moja ya bunifu zake na kuzitumia au kuziboresha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…