Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 4,846
- 11,671
Hii jezi madanga wanaipenda hatare.Hii wameuza sana hasa wauza utamu wa Geita pale Bms sijui walishaambiana
Hii jezi madanga wanaipenda hatare.Hii wameuza sana hasa wauza utamu wa Geita pale Bms sijui walishaambiana
Ni hatari huwezi kwenda bar usimuone barmaid hata wa3 hawajaivaaHii jezi madanga wanaipenda hatare.
Adidas siku hizi anafanyia maboresho style zake za Zamani , huu mpya wa Bayern kakopi huku.Uliona uzi wa Madrid ya wakina Robinho kama sikosei? Na hiyo Chelsea yz Akina Ashley
View attachment 3330354
View attachment 3330355
View attachment 3330356
View attachment 3330357
View attachment 3330359
View attachment 3330358
Kumbuka mzabuni ni mmoja, hivyo ameamua kuchukua moja ya bunifu zake na kuzitumia au kuziboresha
Sioni Shida hapo. Huyu ni Legend wao. Hij ni Bonge la Farewell kwa mwamba, Huyo ni Bavarian Forever.Bayern Munich wamemtumia mkongwe muller wakati msimu ujao hawatakuwa nae.
Huu uzi ukiuangalia kwa woga una pigo za kiARSENAL ASENALI ama PSG kwa mbaali.
Kuna ambazo nimeziona kwa Allan Pambakali kama ndio zile official basi tumebamizwaa 😥NasubirI uzi wa liverpool kutoka Adidas nivimbe nao kitaa si unajua tena machampion
Chama lako ni lipi kiongozi?
Napenda sana kola za aia hii
Sijui ata team ya wapi ila kwa siku utakutana na wadada 50 wamevaaSare mpya ya wachimba chumvi bado haijatoka?
View attachment 3330349
Kuna ambazo nimeziona kwa Allan Pambakali kama ndio zile official basi tumebamizwaa
BadoIntermadrid na Paris st Madrid ziko wapi
Ni jezi ya Pelmeiras mkuu ipo BRAZIL 😂😂😂Sijui ata team ya wapi ila kwa siku utakutana na wadada 50 wamevaa
Yeaaah sio mbayaUliona uzi wa Madrid ya wakina Robinho kama sikosei? Na hiyo Chelsea yz Akina Ashley
View attachment 3330354
View attachment 3330355
View attachment 3330356
View attachment 3330357
View attachment 3330359
View attachment 3330358
Kumbuka mzabuni ni mmoja, hivyo ameamua kuchukua moja ya bunifu zake na kuzitumia au kuziboresha
Designer haumizi kichwaHivi Celtic si utakuta jezi mpya wanabadili mstari mmoja tu 😁
Sare za ma baamedi au barmaid 😂😂😂Sare mpya ya wachimba chumvi bado haijatoka?
View attachment 3330349