JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 9,120
- 9,727
Kuna ile jezi ina rangi za Orange zimeamdikwa "AstroPay" nazo naona watu wengi wanazivaa.Sijui ata team ya wapi ila kwa siku utakutana na wadada 50 wamevaa
Kuna ile jezi ina rangi za Orange zimeamdikwa "AstroPay" nazo naona watu wengi wanazivaa.Sijui ata team ya wapi ila kwa siku utakutana na wadada 50 wamevaa
Upo mkoa gani mkuuSijui ata team ya wapi ila kwa siku utakutana na wadada 50 wamevaa
Za Wolverhampton Wonderers ya uingereza mkuuKuna ile jezi ina rangi za Orange zimeamdikwa "AstroPay" nazo naona watu wengi wanazivaa.
Mancity nadhani tatizo rangi ,mara nyingi home kit inakuwa ya kawaida sana
Saiv ishaanza kuondoka kwenye chat. Naona uzi wa real betis na man u ile sharp ya mwaka 99 waliochukua nayo tripple ndio zinakimbiza mtaaniHii wabongo wameivamia sana haswa Wadada wa hovyo siijui iliwekwa dawa gani hii , nadhani kwa Africa bongo ilingoza kuuzika hii..
😂😂Kuna huu uzi wa mnyamaView attachment 3331160
Kweli kabisa mkuu, Real Betis sasa ule mostari kijaninna meupe unavamiwa sana siku hizi.Saiv ishaanza kuondoka kwenye chat. Naona uzi wa real betis na man u ile sharp ya mwaka 99 waliochukua nayo tripple ndio zinakimbiza mtaani
Hao wolverhampton jezi zao zimetamba sana mwaka jana. Nadhani walitoa kitu kikali kuliko timu kubwa ila mashabiki wa timu kubwa hatuwezi kuona ila wale mashabiki oya oya wanaweza kutofautisha jezi kali bila upendeleo.Kuna ile jezi ina rangi za Orange zimeamdikwa "AstroPay" nazo naona watu wengi wanazivaa.