Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
- Thread starter
- #81
Newcastle Utd new home kit
Jezi ya simba haijawahi kua nzuri pamoja na kua na rangi nzuri nyekundu na nyeupe aisee.Sijui kwa nini nyekundu ya arsenal nzuri lakini ya simba mbaya!
Hii wamezingua kawaida sana sio kama ya msimu ulioisha.Tottenham new home kitView attachment 3354946
Naunga mkono hojaHii wamezingua kawaida sana sio kama ya msimu ulioisha.
Lile neno Crefisa lilikuwa unyamaPalmeiras,
Wazee wa sare za wafanya massage, wauza vipodozi, wahudumu wa guest.
View attachment 3363469View attachment 3363470
😅😅😅😅😂😂😂 oyaaaa siwezi vaa hii ufala
Kwa jezi tu, hatujambo ila sasa msimu ukiisha ni 0 😂🤣New Arsenal home kit for 2025/26
View attachment 3334655View attachment 3334656View attachment 3334657
Safari hii hawana CrefisaPalmeiras,
Wazee wa sare za wafanya massage, wauza vipodozi, wahudumu wa guest.
View attachment 3363469View attachment 3363470
Uzi umesimama.