Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #81
Subiria kidogo muda usogee, zije qualityWakuu kwa hapa daslam natapata wapi huu uzi wa arsenal wenye unafuu na sio lonyalonya.
Maana sisi wengine kuchagua mavazi og tuna F yaani mswaki kabisa
Duka gani nikienda sitokuta lonyalonya ambalo walau linaaminika tulitumie tusiojua ukali.
Sawa mkuu, sio mbaya ukishare hapa maduka specific yasioyouza lonyalonyaSubiria kidogo muda usogee, zije quality
45 Min watafute insta au twitterSawa mkuu, sio mbaya ukishare hapa maduka specific yasioyouza lonyalonya