Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2026/2027

Greatest Of All Time

Platinum Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,550
Reaction score
62,019
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Bayern Munich.

Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali.

Karibu...
 
Nike kwenye jezi washaanza kuchoka , Adidas sasa ni level nyingine jezi zao classic sana tukianzia na za kombe la dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…