Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Nitachukua hii ya kushindia home. Nitapata wapi OG?Possible Chelsea new home kitView attachment 3588477
Nitachukua hii ya kushindia home. Nitapata wapi OG?Possible Chelsea new home kitView attachment 3588477
Nzurii sanaa, [emoji91][emoji91]
Hii kalii, nimeipendaa nitaichukua, japo sio Cheltako fans.Possible Chelsea away kitView attachment 3588478
😁😁😁 Nzuri sana aiseeHii kalii, nimeipendaa nitaichukua, japo sio Cheltako fans.
Cheltakoo jezi ya Away, wameua, na hivi napenda white colour, lazima nibebee. LolInaonekana huu msimu utakuwa na jezi kali sana, binafsi hadi sasa nimevutiwa na nyuzi ya chelshit away pamoja na man utd home kit
Sio mtabiri, ila hizi jezi zitakua nembo ya Taifa, zitasombwa na Waja hizi hadi mshangaee.
Kali sana jezi ya cheltako ya Away. [emoji91][emoji91][emoji16][emoji16][emoji16] Nzuri sana aisee
Unazingua kutuita Cheltako Madam 😁Kali sana jezi ya cheltako ya Away. [emoji91][emoji91]
Agiza Ulaya kabisaNitachukua hii ya kushindia home. Nitapata wapi OG?
Labda uagize mtandaoniNitachukua hii ya kushindia home. Nitapata wapi OG?
Hawa na PSG wana matatizo sana mijezi hiyohiyo miaka nenda rudiCeltic home kitView attachment 3588558
Ndio muundo wa jezi zao zilivyo kama ilivyo kwa ArsenalHawa na PSG wana matatizo sana mijezi hiyohiyo miaka nenda rudi