Adidas wametuonea Man U mbona kwa Arsenal wametoa kitu kikali ,hawa jamaa wametufanyia uhuni ..Msimu wa 2020/2021 timu zimetoa jezi kali sana ila Manchester United kwakweli jezi hazivutii
Nasapoti maandiko yako 100% , puma wako vizuri sana kwenye kudesign hawajawahi kutoa jezi mbovu tokae niwafahamuIn term of design, Adidas sio wazuri ukilinganisha na Puma. Hata Puma in term of quality sio wazuri ukilinganisha Adidas.
Nike wapo vizuri sana upande wa vifaa hasa viatu. Lakini Adidas kwa ubora wa vifaa ndio wapo na material nzuri.
Designer mkuu wa jezi za Adidas Bw. Paul Belegarzt ilifikia kipindi anafanya ubunifu wa jezi 16, lazima utumie resource yote kichwani, tofauti na Puma ambao kila timu inawakilishwa na designer wawili.
Arsenal home kitView attachment 1522742
Naihitaji hii kwa namna yoyote ile tena mapema sana
Ingia insta kuna jamaa anauza anaitwa @45minutes
Niliziona nikahisi ni famba za kariakoo nikapotezea, ngoja nikamcheki fresh
Huo uzi unaeza ombea mkopo na ukapewaChelsea away kitView attachment 1522739
Huu uzi una balaa sanaRoma home kitView attachment 1522738
Ha ha kwa uzi wamejitahidi sanaIla Arsenal uzi mkali sana, matokeo ndio kashesheView attachment 1522748