Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Siyo low quality bali ni crime. Ni kosa la jinai kwa sheria za Tanzania na pia ni kosa la jinai kwa sheria za kimataifa za hatimiliki na intellectual property.
Tatizo siyo standards ila ni wizi wa mali.

Hata sijakuelewa hapa,umesoma tangu mwanzo wa hii convo au umerukia hapa hapa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaah ni OG kwa ajili ya kulalia na usisahau kumchukulia na shemeji ili wote muwe vazi la kulalia kutoka simba

Kunywa Mo Energy uendelee kupata nguvu ya kupovuka.Naona leo kazi unayo.Jezi zinauzika kama njugu sokoni tena ni mzigo mkubwa,kufeni kabisa Utopolo kwa hasira[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwahyo ni shuka lako la kujifunikia? watu na jezi zinaingiliana vipi?
Ukinuna uwe na sababu

Screenshot_20210903-143059_Instagram.jpg
 
Jezi inazinduliwa kesho, kama imevuja kwani maji hayo? nitaivaa na kelele zenu sina habari nazo.
 
Hata sijakuelewa hapa,umesoma tangu mwanzo wa hii convo au umerukia hapa hapa [emoji3][emoji3][emoji3]
Ukifanya kazi au kuingia dili na mtu ambye anafanya biashara haramu, matokeo yake ni kama haya.
Mchakato umekaa kiharamuharamu. Ni kundi la watu wenye tamaa ya fedha bila kujali maslahi makubwa ya jamii.
Matokeo yake ni watu kuasgula malonyalonya a.k.a kachumbari . Nyanya, kabichi na vitunguu vimekuwa ndiyo theme ya jezi.
 
Kunywa Mo Energy uendelee kupata nguvu ya kupovuka.Naona leo kazi unayo.Jezi zinauzika kama njugu sokoni tena ni mzigo mkubwa,kufeni kabisa Utopolo kwa hasira[emoji3][emoji3][emoji3]
Yanga ndo timu pekee inayoweza kutoa jezi siku kabla ya tamasha lao na kesho yake mashabiki wote wanakuwa wamenunua jezi mpya
 
Leo utakufa kwa pressure! Jezi ya Simba ni motoo! Hakuna “Deadman Walking” hata mmoja kwa jezi.
Pia wanasimba tunaomba msamaha wenu kwa kuweka tarehe ya kuzaliwa ya Boss peke yake B29, ila katikati ya msimu kama kawaida yetu tutatoa jezi nyingine ambayo tutaweka tarehe za kuzaliwa za Barbra na Vunjabei na ikiwezekana baadhi ya wanafamilia wa Mo dewji
 
Back
Top Bottom