Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Vunja Bei amekosa Siri za ushindani Kuna mahali amekosea yeye mwenyewe asimlaumu mtu maana jukumu lote lilikuwa kwake ...aliwaaminisha watu yeye mtoto wa kariakoo anajua machocho yote ya kuprint jezi feki atadhibiti matokeo yake mzigo umeshajaa mtaani hata kabla hajaanza kuuza

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hapa point yangu ni yeye kuheshimu kazi za wengine,siyo kuleta madharau,hiyo Low quality yeye kaijuaje? Maana anaongea utadhani yeye ananunua kwa designers moja kwa moja Paris,NW au Italy.Kumbe na yeye tunabanana hapa hapa kwenye maduka yetu yanayouza kama siyo China basi Nguo kutoka Turkey.Au ndiyo wale wakiingia kununua nguo Mr Price wanajiona wanavaa nguo ya standards ya juu.[emoji3][emoji3].
Siyo low quality bali ni crime. Ni kosa la jinai kwa sheria za Tanzania na pia ni kosa la jinai kwa sheria za kimataifa za hatimiliki na intellectual property.
Tatizo siyo standards ila ni wizi wa mali.
 
Hiyo jezi ya Simba ilikuwa lazima ivuje tu. Haiwezekani eti wazindue kesho jioni Dar halafu muda huo huo ipatikane Tanzania nzima. Isingewezekana kuisafirisha maelfu ya kilomita mikoani bila kutokea wajanja wachache wafanye yao hapa katikati.

Ushauri wa bure kwa Vunjabei na Simba kama kweli wanataka jezi zisivuje siku zijazo basi uzinduzi ufanyike Dar na mikoani kote zipatikane baada ya masaa 24/48. Kutaka jezi zipatikane mikoani siku hiyo hiyo zinapozinduliwa Dar kibongo bongo haiwezekani kwani janja janja wengi.
Jezi za mmpira ni kawaida kuvuja mkuu unakuta team kabla haijatambulisha jezi picha zinakuwa zimesambaa
 
Lawama kapewa Yanga.
View attachment 1922167

Naona msimu huu mmekuwa malalamiko fc.Simba kila siku mnakazi ya kumtafuta mchawi mmeanza na Manara, leo mnamtafuta mchawi aliyevujisha jezi, mkaamua zigo mumbebeshe Yanga. Ila ndani ya Simba kuna akina Kassim Dewji, wanagonga copy watakavyo na hawaguswi.
Nimeshangaa kauli ya Kamwaga, kwani Yanga ndiyo Vunja bei?
 
Nimetoa elfu 10 nimepewa jezi 3 za mikia,naenda kufanyia matambala ya kupigia deki nyumbani

Screenshot_20210903-141143_Instagram.jpg
 
Akili za utopolo bana.
Kwani hizi jezi alizihifadh wapi zisivuje? Tena siku moja kabla ya kuzindua? Ina maana yeye tu duniani mwenye alikua anajua ziliko na ana funguo zake? Hana wasaidizi??

By the way Jezi ina tundu la kuingizia kichwa na mikono, itaachaje kuvuja kwenye hayo matundu?
Unajua unachoongea wewe?sisi tunaongelea jezi fake zipo mtaani zinauzwa tena sio mbali hapo hapo Agrey na Mtaa wa Congo.
JamiiForums2105660718.jpg
 
Mtatusamehe tu wanasimba coz kwenye jezi tumeongeza tarehe ya kuzaliwa kwa Boss MO29
 
Halafu tumetoa jezi kama Night dress vile ili ziwe zinavaliwa wakati wa kulala
 
Halafu kama Mwijaku alivujisha video yake na Menina, sembuse jezi ya Simba
 
Wanajamvi nimeshtushwa sana kuuona uzi wa simba mitandaoni kabala ya tarehe husika ambayo ilikuwa ni tarehe4 na si leo tarehe3 huu mchezo mchafu unatuharibia soka letu.



kosa la kiufundi alilofanya Vunja bei ni pale kwenye press yake aliposema
mzigo ushafika kwenye maduka yote Nchini had kwa maa agent unasubiriwa uzinduzi..

wakat anajua hana control ya kwenye hayo maduka so ilikuwa rahis watu ambao ni wafanyakaz wa kwenye hayo maduka kuanza kuchungulia kwenye mizigo ya humo madukan ili kupiga picha wapate publicity ya kuvujisha..

asingejitamba wala asingesema mzigo ushafika madukan.. maana yake watu wasingejua ila kitendo cha kusema basi ndo kama kachochea watu waanze kupekenyua..

ni sawa sawa ujenge nyumba ya vioo tu kila anaepita nje aone kila kitu ndan.. lazima kuna watu watashawika kuja kuiba cho chochote

ndo maana wakaamua wachie wauze fasta maana watengeneza copy wangezitoa fasta

natumain kajifunza .. hata rudia kosa hilo

alikuwa na nia nzur ya kuhakikisha usambazaj unafanyika kabla.. ila aliwachukulia poa wabongo

hajui kwa nini GSM na wale UHL sport walikuwa wanasambaza baada ya kuzindua wanajua wabongo wanapenda publicity
 
Back
Top Bottom