Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Yani Uto wakimwangalia na Model Hamisa Jezi zilivyomtoa ndiyo kabisa Povu linawatoka kama lote.Wanatamani kuzikosoa kuwa mbaya lakini wanashindwa wanabaki kuhoroja “jezi kuvuja”[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanajamvi nimeshtushwa sana kuuona uzi wa simba mitandaoni kabala ya tarehe husika ambayo ilikuwa ni tarehe4 na si leo tarehe3 huu mchezo mchafu unatuharibia soka letu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jezi kali sana,haya huyo Designer wao Sheria Ngowi kala pesa bure akawajazia misukule na vibwengo,Vunjabei kaja kumkalisha kwa jezi kalii,rangi flan amaizing,Jezi ya dark blue unavaa popote.Kuna Team moja tu yenye mafanikio makubwa Africa Mashariki na kati nayo ni Simba SC, One Team,One Dream[emoji123]
 
kwaya ya mtakatifu parokia petro ikiwa katika pozi
FB_IMG_16306557034267583.jpg
 
Jezi kali sana,haya huyo Designer wao Ngowi kala pesa bure akawajazia misukule na vibwengo,Vunjabei kaja kumkalisha kwa jezi kalii,rangi flan amaizing,Jezi ya dark blue unavaa popote.Kuna Team moja tu yenye mafanikio makubwa Africa Mashariki na kati nayo ni Simba SC, One Team,One Dream[emoji123]
huku moyoni unalia na utapeli wa vunja bei Pole ndugu maumivu yanaua.
Screenshot_20210718-210408.jpg
 
Leo naona mmepagawa,mmeona rangi za kijanja za jezi kalii,siyo vile vibwengo vilivyojazana kwenye jezi utadhani chungwa lilioiva kwa kupepewa[emoji3][emoji3]
Tambala zinauzwa mitaani buku 6 na vunjabei halafu anawaletea leo eti mpya.
Mistari kama ya ikweta huoni aibu?😂😂
 
Jezi kali sana,haya huyo Designer wao Sheria Ngowi kala pesa bure akawajazia misukule na vibwengo,Vunjabei kaja kumkalisha kwa jezi kalii,rangi flan amaizing,Jezi ya dark blue unavaa popote.Kuna Team moja tu yenye mafanikio makubwa Africa Mashariki na kati nayo ni Simba SC, One Team,One Dream[emoji123]
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1303]
 
Tambala zinauzwa mitaani buku 6 na vunjabei halafu anawaletea leo eti mpya.
Mistari kama ya ikweta huoni aibu?[emoji23][emoji23]
Tuone jezi zenu za.misukule kama zitawatoa this time[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Fred ukienda hata kwenye maduka yake, anauza vitu vya low quality sana. Ndio maana mtu unaejielewa unaependa vitu standards huwezi kununua chochote kwa Vunja Bei.

Bora yeye anayeuza hizo “ low quality” lakini ni Boss wa kampuni yake mwenyewe na wewe unaesubiri Salary Slip mwisho wa mwezi ndiyo uende kununua “vitu za standards” una nini cha maana kumzidi Fred[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom