Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Jezi zimetulia sana tu,kiguu na njia Msimbazi kujitwalia angalau kit mbili za kuwaumizia roho Utopolo,wajifunze jezi nzuri zinavyokua sio kujaza vinyago.
Mo angepunguza mitangazo yake zingekuwa nzuri
 
Ukiona hivyo ujue Mkataba wa Fred ukiisha yeye ndio atakuwa anatengeneza jezi,anawaandaa kisaikolojia.
Vunjabei alishindanishwa na GSM akashindwa kwenye jezi za Yanga. Kulikuwa na mgogoro sana hasa ukiwahusisha kina Dismas Ten. Bahati nzuri Yanga walimshtukia kwa sababu hata mimi nilikuwa nampigia debe, ila naona ni mtu wa Guangzhou sana.
 
Team ya Simba itafanya vizuri uwanjani na Fred atauza jezi kwa sana tu.Wewe uwe na usiri kuzidi hata Mossad lakini kama Yanga itaburunda uwanjani ambayo ni more likely kutokea tena msimu huu hizo Jezi hazitouzika.Mafanikio ya Clabu yoyote ni uwanjani na si vinginevyo.
Nyie si kwenu huku waganga njaa wamejazana kibao kwenye club, mbona club nyingine kubwa Africa zinaweza why nyie au nao wana kiengo cha Mossad.

Yanga pamoja na kufanya vibaya jezi zake zinauzika sana, sasa jiulize Yanga wakianza kufanya vizuri itakuwaje?

Weka ushabiki pembeni ila kibiashara Fred kishaumia na Simba mshajiharibia,mbele inaweza kutokea kampuni na kuweka mpunga wa maana lkn ikifanya uchunguzi wake ataona anapoteza hela yake.
 
Vunjabei alishindanishwa na GSM akashindwa kwenye jezi za Yanga. Kulikuwa na mgogoro sana hasa ukiwahusisha kina Dismas Ten. Bahati nzuri Yanga walimshtukia kwa sababu hata mimi nilikuwa nampigia debe, ila naona ni mtu wa Guangzhou sana.
Fred ukienda hata kwenye maduka yake, anauza vitu vya low quality sana. Ndio maana mtu unaejielewa unaependa vitu standards huwezi kununua chochote kwa Vunja Bei.
 
Vunjabei alishindanishwa na GSM akashindwa kwenye jezi za Yanga. Kulikuwa na mgogoro sana hasa ukiwahusisha kina Dismas Ten. Bahati nzuri Yanga walimshtukia kwa sababu hata mimi nilikuwa nampigia debe, ila naona ni mtu wa Guangzhou sana.
Mkuu nasubilia Rizoni Yako Kuhusu Huu Wa Simba. Hivi Mosport nayo ni kampuni Ya Utengenezaji Wa Jersey?
 
Wewe huna akili kichwani, Club itapataje mafanikio kama haina mapato ya uhakika au hujui kuwa Club kubwa Duniani kama Real Madrid na Man United zinapata mapato yao kwa kuuza Jezi Original?

Haya kuna la maana kutoka Utopoloni kwa misimu minne mfululizo? Hayo mapato ya jezi za Utopolo ni ya Yanga au ya Ghalib? Yale yale ya mali ya mjomba wako kutwa kusumbua watu wakati wewe binafsi hata kibanda huna.Nenda kachukue akili zako kwa Msukule [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duh kumbe nabishana na kiwiliwili tupu
 
Nyie si kwenu huku waganga njaa wamejazana kibao kwenye club, mbona club nyingine kubwa Africa zinaweza why nyie au nao wana kiengo cha Mossad.

Yanga pamoja na kufanya vibaya jezi zake zinauzika sana, sasa jiulize Yanga wakianza kufanya vizuri itakuwaje?

Weka ushabiki pembeni ila kibiashara Fred kishaumia na Simba mshajiharibia,mbele inaweza kutokea kampuni na kuweka mpunga wa maana lkn ikifanya uchunguzi wake ataona anapoteza hela yake.

Maneno mengi hakuna la maana,ngoja nikachukue jezi za familia yangu Vunjabei Sinza.
 
Hivi Mkuu hiyo Mosport ni kitu gani?

Itakuwa kampuni ya Mudi...maana yule muhindi ana vikampuni/taasisi kibao...

Ndio maana kina Kigwangala wanaona jamaa anaitumia Simba kupigia promo ishu zake, maana kwenye jezi kuna Mo Sports, Mo Foundation, Mo Xtra...

Polish_20210903_112219897.png
 
Kvuto kwani utavaa wewe?? kavae misukule yenu

Yani Uto wakimwangalia na Model Hamisa Jezi zilivyomtoa ndiyo kabisa Povu linawatoka kama lote.Wanatamani kuzikosoa kuwa mbaya lakini wanashindwa wanabaki kuhoroja “jezi kuvuja”[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom