Kwahyo ni shuka lako la kujifunikia? watu na jezi zinaingiliana vipi?Nyie makokolo mkiambiwa sisi tuna watu mnakataa,hii ndio taka taka yenu,jezi hazina hata mvuto,kolo.mnatia huruma hizi ndio jezi za kuzishindanisha na za Yanga
View attachment 1920130
View attachment 1920131
Siyo low quality bali ni crime. Ni kosa la jinai kwa sheria za Tanzania na pia ni kosa la jinai kwa sheria za kimataifa za hatimiliki na intellectual property.
Tatizo siyo standards ila ni wizi wa mali.
Yaah ni OG kwa ajili ya kulalia na usisahau kumchukulia na shemeji ili wote muwe vazi la kulalia kutoka simba
Halafu tumetoa jezi kama Night dress vile ili ziwe zinavaliwa wakati wa kulala
Ukinuna uwe na sababuKwahyo ni shuka lako la kujifunikia? watu na jezi zinaingiliana vipi?
Ukifanya kazi au kuingia dili na mtu ambye anafanya biashara haramu, matokeo yake ni kama haya.Hata sijakuelewa hapa,umesoma tangu mwanzo wa hii convo au umerukia hapa hapa [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]fala wewe.Nimetoa elfu 10 nimepewa jezi 3 za mikia,naenda kufanyia matambala ya kupigia deki nyumbani
View attachment 1922263
Safi safi jezi inafananishwa na tunda la afya ....nyanya
Yanga ndo timu pekee inayoweza kutoa jezi siku kabla ya tamasha lao na kesho yake mashabiki wote wanakuwa wamenunua jezi mpyaKunywa Mo Energy uendelee kupata nguvu ya kupovuka.Naona leo kazi unayo.Jezi zinauzika kama njugu sokoni tena ni mzigo mkubwa,kufeni kabisa Utopolo kwa hasira[emoji3][emoji3][emoji3]
Pia wanasimba tunaomba msamaha wenu kwa kuweka tarehe ya kuzaliwa ya Boss peke yake B29, ila katikati ya msimu kama kawaida yetu tutatoa jezi nyingine ambayo tutaweka tarehe za kuzaliwa za Barbra na Vunjabei na ikiwezekana baadhi ya wanafamilia wa Mo dewjiLeo utakufa kwa pressure! Jezi ya Simba ni motoo! Hakuna “Deadman Walking” hata mmoja kwa jezi.