Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

OKW BOBAN SUNZU tulipowaambia sisi tuna watu akadai vunja bei anazuga,hiyo mijezi watu washafyatua fake kibao pa1 na huyo vunja price mwenyewe

Haya tukusaidieje? Unaonaje ukinywa maji ukapunguza hilo povu mdomoni! Tunanunua kwa sana tu na kuvuja kwake,mradi hakuna tu Vibwengo kwa hizo jezi
 
Utawaweza utopolo?
Yani mtu anashindwa tumia akili
jezi zipo dukani zimetundikwa mtu kaona picha anasema zimevuja
Vunja bei ndio msambazaji wa jezi, jezi zinauzwa kwenye maduka yake alaf mtu anashindwa kutumia akili, kwamba maduka ya vunja bei yangefungwa mpaka hiyo siku ya uzinduzi?
 
Na hizi nazo unasemaje?
IMG-20210903-WA0052.jpg
IMG-20210903-WA0051.jpg
 
Back
Top Bottom