Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Kama kweli ndio hizo zinatosha.
Jezi hazichezi uwanjani. Na rangi za team zinsjulikana mengine mbwe mbwe tu.
 
N
Kilq tangazo.si.linalipiwa..? Au hujui.?? Kaangalie jezi.ya.Man city afu uje hapa tena. Jezi ikiwa na matangazo.mengi.ina maana ya udhamini mwingi upo..?

Ndio maana mkaitwa makolokolo FC kwa kujaza matangazao jezi nzima,
 
N


Ndio maana mkaitwa makolokolo FC kwa kujaza matangazao jezi nzima,
Sasa ww unataka jezi.nyeupe kwani ni za waimba kwaya kuwa hakuna wadhamin.? Na huo uzi wa manyani.aka vibwengo hujaona chapa za gsm kama tatu mle.? Chuki wivu husda kitu kibaya. Na pia wewe kinachokuuma nini.? Kuna jezi za timu kubwa km.Man city chelsea zina matangazo km yote lkn hizo ni biashara na sio kutuwekea vibwengo wa kuzimu kwenye jezi.
 
Mo angeongeza matangazo kwenye jezi watu wajue bidhaa zake,mpira ni pesa mpira biashara,ni mshamba tu asiejua hili jambo.
 
Matangazo ya kampuni 1 [emoji3],nyie kanjibhai wenzenu wanajaza matangazo kampuni tofauti na zote zinalipiwa
Mashabiki tumeridhika na uwekezaji wa Mo hasa kwenye benchi la ufundi timu inafanya vizuri,Mo aongeze matangazo kwenye jezi yajae nafasi isibaki.
Jezi zenye makorokoro ndo zinabeba ubingwa back 2 back.
Woyoooooooooooooooooooooo.
 
Nimeziona jezi za ugenini bado sijafanikiwa kupata ile ya nyumbani. Unazipa alama ngapi chini ya 10?

Mkuu, usipende kujipa credit za bure bure! Hiyo ni jezi au graphic ya jezi? Kama umeona picha, kwa nini useme umeziona jezi? Hebu tusaidiane, hii ni jezi au graphic ya jezi?

NB: mpira unachezwa na wachezaji uwanjani, tusisahau hilo tukabaki tunajisifia jezi, waimbaji, wasemaji nk

1630567213870.png
 
Back
Top Bottom