Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Huu mkali ikitokea ukawa huu poa tu uko.bomba saana kwa kiasi chake hautafanana na ile mikusanyiko ya wafu huko kuzimu utopoloni
hao utopolo walichofanya ni kudesign ujinga wao na ku print kuzua taharuki ila msomali wanakula sana hela zake kibwege..jersey challenge ilifanyika jezi zilitengenzwa nyingi sana
 
zinaendelea kuvuja jamani sambazeni watanzania waoooneeeee
4.jpeg
5.jpeg
 
Stress za kukosa ubingwa miaka minne hizo,
Mara tumemchukua manara, mara akina bin kleb wamerudi hatufungwi, mara jezi zetu kali, mara tumejaza uwanja siku ya mwananchi, ila linapokuja suala la mpira wenyewe sasa, kapumbu kawapiga bao😄,,, mkiulizwa oooh hatuumii kwa kuwa ile mechi ya kirafiki, wakati huo huo kipindi mnaongoza nyie kwenye hiyo mechi kelele mpaka tandale walikuwa wanasikia uto bwana 😄
Hamna akili wote kasoro baba ake haji na kikwete
 
Jezi karibia zote hapo mtengenezaji ni Uhlsport na wakati mkataba wa Simba na Uhlsport umeisha msimu uliopita hapo tayari nimegundua hili nalo ni tango pori

Ningeona nembo ya Vunja Bei hapo ningeamini kidogo labda
 
Jezi karibia zote hapo mtengenezaji ni Uhlsport na wakati mkataba wa Simba na Uhlsport umeisha msimu uliopita hapo tayari nimegundua hili nalo ni tango pori

Ningeona nembo ya Vunja Bei hapo ningeamini kidogo labda
Bora wewe umewashitukia mambwiga
 
Aisee natamani zitoke Kama hivi maana ni Kali sana
 
Kali tupu.zote kali Vunja bei ametisha.
lakini unisport hapo ya nini,wakati Simba washakula mzigo wa fredy!
 
Wewe waache tar 4 wataaibika,walishazoea kudanganywa,si uliona walikuwa wanamsubiri kwa hamu Luis siku ya Kilele cha Mwananchi,matokeo yake wakakutana na Kapumbu.
Mkuu umeaangalia video ? Mi picha nilidhani editing ila nilipoangalia video dah kwanini lakini wavujishe?
 
Back
Top Bottom