Jezi mpya za Simba SC 2019/2020

Jezi mpya za Simba SC 2019/2020

Niige kuupepeta? Yanga mpira unapigwa uwanjani, shughuli za kuupepeta tumewaachia wamama wa msimbazi na yule kaka yenu ambaye kwa mujibu wa Amber Rutty ni CHAPUTA member 😀 😀 😀
IGA UFE: mzee akilimali
Screenshot_2019-08-01-18-24-53.png


Member wa chaputa nawaona hapa☝
 
Hiyo jezi ya Blue nimeikubali sana. Hata kwa laki 2 nitainunua. Alafu muundo wa kola umetulia, hata mtu awe na sura kama Iddi Amini lazima apendeze.
 
Back
Top Bottom