koboG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 2,763
- 5,167
IGA ufe mzee akilimaliIngekuwa ubingwa unapatikana kwa kuupepeta mdomo kama anavyofanya Manara na mbumbumbu wengine, saa hizi 5imba ingekuwa bingwa mara 29
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IGA ufe mzee akilimaliIngekuwa ubingwa unapatikana kwa kuupepeta mdomo kama anavyofanya Manara na mbumbumbu wengine, saa hizi 5imba ingekuwa bingwa mara 29
Jezi 30,000 tuHio ndo laki ngapi!! Bwashee huo ni matumizi mabaya ya pesa bwashee
IGA ufe,ukifufuka unakuta simba bingwa tayri.Kwani msimu huu nao bingwa anateuliwa kama msimu uliopita?
Niige kuupepeta? Yanga mpira unapigwa uwanjani, shughuli za kuupepeta tumewaachia wamama wa msimbazi na yule kaka yenu ambaye kwa mujibu wa Amber Rutty ni CHAPUTA member 😀 😀 😀IGA ufe mzee akilimali
IGA UFE: mzee akilimaliNiige kuupepeta? Yanga mpira unapigwa uwanjani, shughuli za kuupepeta tumewaachia wamama wa msimbazi na yule kaka yenu ambaye kwa mujibu wa Amber Rutty ni CHAPUTA member 😀 😀 😀
AhahahahaHiyo jezi ya Blue nimeikubali sana. Hata kwa laki 2 nitainunua. Alafu muundo wa kola umetulia, hata mtu awe na sura kama Iddi Amini lazima apendeze.
Mnakoelekea mtashona mpaka za njano nyie sababu ile red na white mnaikimbia pole pole.😜
Heeeee! 😳😳😳 Makubwa haya Mtani.Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Nguvu moja jirani[emoji1491][emoji1491][emoji3]Nimeona Mtani. Japo mnakoelekea ile nyekundu mtaiacha.
Ila uliadimika sana kulikoni?