Mimi ni shabiki wa yanga ila jezi za simba ni mzuri zaidi
YΓ kipaHiyo blue ndiyo tamu.
Sishabikii mpira wa bongo lakini.
Hizi wale wenzangu na mimi wenye rangi za mtume hatuwezi kuzivaa tutaonekana vituko tunavaa za Msimbazi tu mtaniHebu hukoo! Zina ubaya gani hizi jezi Mtani?
Kavae miwani hebu. π
Ngoja nimtag ajiandaeHamna kitu ka hicho Mtani. Subiria January ifike ndio tutajua hizo 3 ka zipo.
Sure.Mimi ni shabiki wa yanga ila jezi za simba ni mzuri zaidi