Jezi mpya za yanga ni nzuri

Jezi mpya za yanga ni nzuri

Jezi mbayaaa kiukweli wamechemsha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Shadeeya kubali matokeo nje ya uwanja mpaka sasa nishakupiga 3-0
 
Jezi sio nzuri sana lakini hata ya simba nayo mbayaaa, yaani hizi timu bwana maneno mengi tu kuliko vitendo
 
Jezi mbayaaa kiukweli wamechemsha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Shadeeya kubali matokeo nje ya uwanja mpaka sasa nishakupiga 3-0
Hebu hukoo! Zina ubaya gani hizi jezi Mtani?

Kavae miwani hebu. 😜
 
Jezi mbayaaa kiukweli wamechemsha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Shadeeya kubali matokeo nje ya uwanja mpaka sasa nishakupiga 3-0
Hamna kitu ka hicho Mtani. Subiria January ifike ndio tutajua hizo 3 ka zipo.
 
Yanga mnastahili pongezi sana tu kwa hatua nzuri mnazopiga kuibadilisha na kuiboresha timu, hongereni sana! Mkijitahidi zaidi mnaweza kuifikia hata simba ila kwa sasa bado
 
Ila kwa hapa sijui tumefeli wapi mbona wenzetu simba jezi zao mzuri
 
Back
Top Bottom