Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Wewe kama mimi,natamani ninunue za simba lakini naona aibu.ntaendelea kuvaa zile za zamani Quality group ndio nazielewa.hizi wameniudhi kwenye huo mchirizi katikati,ukiungana na maneno sportpesa ,unatokea kama msalaba.nimechukia kweli yan!Mimi ni shabiki wa yanga ila jezi za simba ni mzuri zaidi