Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

Imebidi aje tu hivyohivyo kwa kujikakamua sana.. Maana walikuwa wameupania mbaya huu uzi kama wangeshinda [emoji23]
Kwanza sio kawaida yake mechi ya Simba au Yanga ikicheza lazima aende kwenye uzi wa takwimu kati ya Kibu na Mayele. Jana sijamuona.

Leo kama bahati namkuta hapa halafu ana behave kama hakuna kitu kilitokea, hii sijui ni roho ya aina gani...au kuna baadhi ya watu wana roho pea mbili

Nataka anuletee zile screenshot zake za Manula akiwa chini baada ya Azizi Ki kufunga goli kwa free kick. Namimi nimuoneshe new version ya jana kutoka kwa Diara ambayo ni incredible kuliko ya Manula
 
Hapa ulichemkma huu uzi ni wa matukio, timu yenye jezi nzito inapoteza mechi moja kwa mda interval ndefu kiasi hicho? au uzito upi unazungumzia
Unbeaten kwa Interval ambazo ziko programmed na makosa ya waamuzi wala haishtui

Na hatuiti makosa bali kulikuwa na special agenda kwasababu yale matukio haikua bahati mbaya
 
Hizi pumba pelekea wafuga kuku
 
Huko shirikisho ulichukua kombe? au una bwatuka kama teja
 
Jana kutoka kwa Diara ambayo ni incredible kuliko ya Manula[emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Haha
 

Attachments

  • 62784DF8-EB8C-4D42-8406-6AD591D604A9.jpeg
    61.7 KB · Views: 8
  • B639C2CF-F998-4505-92D4-4BF9BF5EC613.jpeg
    51.4 KB · Views: 8
  • B4EEA3A9-0210-4DB3-87B9-5FE61B3051BA.jpeg
    16.4 KB · Views: 8
  • D5E4A4D4-7982-4E1A-9E7D-C1D3BDC0CD42.png
    137.9 KB · Views: 8
  • F4F38EBD-87EA-4AB6-B10B-DC9C9961D95C.jpeg
    94.3 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…