Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwanza sio kawaida yake mechi ya Simba au Yanga ikicheza lazima aende kwenye uzi wa takwimu kati ya Kibu na Mayele. Jana sijamuona.Imebidi aje tu hivyohivyo kwa kujikakamua sana.. Maana walikuwa wameupania mbaya huu uzi kama wangeshinda [emoji23]
Leo kama bahati namkuta hapa halafu ana behave kama hakuna kitu kilitokea, hii sijui ni roho ya aina gani...au kuna baadhi ya watu wana roho pea mbili
Nataka anuletee zile screenshot zake za Manula akiwa chini baada ya Azizi Ki kufunga goli kwa free kick. Namimi nimuoneshe new version ya jana kutoka kwa Diara ambayo ni incredible kuliko ya Manula