Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

Ni maroho mangapi kwa pamoja yanabebwa na mchezaji mmoja kwa wakati mmoja.. Hapo achilia mbali na yale mahirizi .. Mwisho mchezaji anajikuta ni mwepesi wa kilo 60 lakini akicheza utadhani ana kilo 135 kamili..
Msimu uliopita jezi ya njano ilikuwa na maroho mengi ya watu ila waliibuka mabingwa.... anyway tusubirie msimu mpya.
 
Msimu uliopita mlisema jezi imejaza watu na vikaragosi lakini jezi ile ndo imekuwa na mafanikio zaidi kwa msimu huu, imechukua ngao ya hisani, imechukua ligi kuu, imechukua kombe la FA, na wamemaliza bila kufungwa msimu mzima, Na wale waliokuwa na jezi zilizojaa Mo foundation peke yake awakuambulia kitu zaidi ya mapinduzi bonanza, Usiishi kwa kukariri maisha wewe
 
Nimecheka sana 😂😂😂
 
tutarejea taka hz mwisho wa msimu
 
Kwani msimu uliopita niliandika hiki kitu?
 
umeandika kitaalamu. jezi hazipitishi hewa
 
Sawa. Ni mtazamo tu....! Na inaweza kuwa, au isiwe!

Kwa ufupi tu, haitakuwa. So, hii mada ifungwe tu.
 
Huo ni uchawi sasa
 
Wakati yanga inakosa ubingwa mara 4 mfululizo ni jezi zilichangia?
Hizi nadharia hazifanyi kazi kama watu mnavyojaribu kutuaminisha.
Sababu huwa hazikosekani popote.. Lakini hili la jezi mwaka huu utaona uhalisia wake
 
Tumekuchoka pia na mambo yako ya ushirikina kila siku! Hivi una mada zingine ? Kila kitu unaiwekea kwa tafsiri ya ushirikina huo ni ujinga
Poleni sana nawashauri mpumzike sasa..
 
Ungekuwa unajua mambo hayo ungeisaidia chadema Yako kunusa harufu ya usaliti wa kina Bi mdee!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…