Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Msimu uliopita jezi ya njano ilikuwa na maroho mengi ya watu ila waliibuka mabingwa.... anyway tusubirie msimu mpya.Ni maroho mangapi kwa pamoja yanabebwa na mchezaji mmoja kwa wakati mmoja.. Hapo achilia mbali na yale mahirizi .. Mwisho mchezaji anajikuta ni mwepesi wa kilo 60 lakini akicheza utadhani ana kilo 135 kamili..![]()