Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

Bonanza Hilo wala siyo ligi
Lakini si timu ziliingia uwanjani? Zikacheza tena kwa juhudi? Na kufuata kanuni zote za soka? Si mechi imerekodiwa kwenye kitabu cha kumbukumbuku cha TFF, CAF na FIFA!?
 
Utoto unakusumbua tu 2-1
 
Kaichapa Simba...
Niliandika hivi..
Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo
 
Mshana manyau nyau
 
Tayari ishachukuwa ngao ya jamii, kuna misimu ilikuwa inatoka kapa. Hivyo hoja yako inakosa mashiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…