Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

Hivi kocha anacheza namba ngapi!
Huyo Aziz Ki ili acheze katika ubora wake lazima azungukwe na watu wenye ubora.
Mashabiki hawataki kusikia la mwadhini wala la mnadi swala
 
Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo

Rangi, maumbo na michoro kiroho huwakilisha vitu vikubwa sana.. Na in fact hesabu za kiroho ziko kwenye hayo mambo matatu..RANGI, MAUMBO NA MICHORO...!

Kwenye rangi sio ishu tena kwakuwa waliozichagua walishazipitisha na zikapata kibali cha kiroho... Rangi ya kijani inawakilisha uhai na ni rangi yenye nguvu sana kiroho.. Hata hiki chama cha ccm kinaishi mpaka leo hii kwa kudra za kiroho za rangi ya kijani.. Soma vitabu hivi kama rejea Green Traveller na The Hog!

Maumbo pia yana nguvu kubwa sana kiroho, na ndio maana watu huchukua muda mwingi kubuni ama kutumia umbo lenye uhai ama connection na roho.. Hapa sizungumzii uchawi na ushirikina vilabuni.. Ukitaka kujua nguvu ya maumbo tembelea majumba ya maonesho yenye maumbo na picha za vitu mbalimbali na ukae sehemu ya utulivu.. Hisia utakazopata ni tofauti kabisa na hisia utakazopata utakapoingia jumba lisilo na mapichapicha.. Hivi vitu huumba roho..

Michoro hasa yenye kuwakilisha vitu vyenye uhai hii ndio huwa hatari zaidi kama isipochaguliwa kwa umakini mkubwa.. Michoro ya maeneo, viumbe hai na chochote chenye kiasili na uhai imebeba maroho mazuri na mabaya

Kwa kutaka utofauti lakini bila kuzingatia mambo haya ya kiroho.. Timu ya Yanga msimu huu imekuja na jezi zilizoelemwa na michoro ya maeneo mbalimbali ya mji wa Dar na kwingineko na vitu vingjne pia vinavyowakilisha mpaka GPS nadhani[emoji3]..
Matokeo yake jezi kimwonekano inakuwa nyepesi lakini kiroho imelemewa mnoo

Ina picha ya askari monument pale Posta... Ni mnara unaowakilisha roho zilizokufa vitani
Kuna michoro ya uwanja wa fisi[emoji24]
Kuna maeneo mbalimbali ya makaburi
Kuna kila aina ya michoro yenye kukumbusha machungu na mambo ya kuumiza pia.. Haya yote yamekusanywa kwenye kitambaa kisichozidi mita moja

Ni maroho mangapi kwa pamoja yanabebwa na mchezaji mmoja kwa wakati mmoja.. Hapo achilia mbali na yale mahirizi .. Mwisho mchezaji anajikuta ni mwepesi wa kilo 60 lakini akicheza utadhani ana kilo 135 kamili..[emoji23]

Ni mtazamo tuu wa kiroho tusitupiane mawee
Nzito sana......we mpare wa milimani mpira mmechezea wapi huko wakati ukipigiwa shuti kama la azizi ki mpira unashuka mwanga huko chini.........wacongo wamewaweza makolo......jezi nzito hadi mwarabu kashindwa kuona shunti
 
Attachments

  • VID-20221109-WA0087.mp4
    3.5 MB
  • Screenshot_20221110-005403_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20221110-005403_Samsung Internet.jpg
    35.1 KB · Views: 13

Chant down Babylon
images.jpeg-77.jpg
 
Attachments

  • images.jpeg-77.jpg
    images.jpeg-77.jpg
    42.5 KB · Views: 9
Jezi nzito inaongoza ligi
Soma uelewe basi nilichoandika

Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo
 
Nzito sana......we mpare wa milimani mpira mmechezea wapi huko wakati ukipigiwa shuti kama la azizi ki mpira unashuka mwanga huko chini.........wacongo wamewaweza makolo......jezi nzito hadi mwarabu kashindwa kuona shunti
Akili kisoda sasa hizi umesoma maudhui ? Nilichoandika ni hiki hapa

Back
Top Bottom