Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

Aahahahaha mtaniii Kalpana unaniangusha banaaa...!! Kweli humjui George aliyewafurahisha kwa kuchukua kiatu cha ligi msimu uliopita? Muulize Mshana Jr anamjua, ila tu hana picha yake. Yeye ana picha ya basi la Ihefu
Na nembo yao [emoji23]
299923262_362278666108593_7181626928214344502_n.jpg
 
Jezi zooote wamezikimbia sasa wanatumia KANIKI iwe nyumbani au ugenini. Mshanajr alikuwa sahihi
Sasa hivi wame mute ngoja washinde uone watakavyoivamia hii mada kwa vijembe na kebehi za kila aina
 
Matokeo ya juzi kule kwa wagosi umeyaona kwanza?
Nimeyaona na sijashangaa..!! Timu tofauti kocha mmoja..!! Hakuna maajabu hapo. Yaani bwana jinsi alikuwa mwenye furaha muda wote..!! Maana ashinde yeyote au iwe suluhu au sale kwake haimuumizi..!! Watoto wa baba na mama mmoja
 
Nimeyaona na sijashangaa..!! Timu tofauti kocha mmoja..!! Hakuna maajabu hapo. Yaani bwana jinsi alikuwa mwenye furaha muda wote..!! Maana ashinde yeyote au iwe suluhu au sale kwake haimuumizi..!! Watoto wa baba na mama mmoja
Mmh[emoji848][emoji2827]
 
Mgunda mna mkataba naye? Maana asije akafanya tukio mkamkana kama yule bwana NGADA kocha wa makipa..!! By the way, Mgunda hakuhama, bali, 'alihamishwa'
Ngalikihinja bana [emoji23] sasa hata sijui unataka kusema nini!? Naamini kama si Ihefu kupindua meza na SIMBA kumtundika mgosi 3 bila majibu haya yote yasingeyokea
 
Hii mada leo na kesho inaweza ikavamiwa tena ama ikapoa kutokana na matokeo yatakavyokuwa usiku.. Maana wandewa wana hasira zimewabana kooni [emoji23]
 
Back
Top Bottom