Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jezi zooote wamezikimbia sasa wanatumia KANIKI iwe nyumbani au ugenini. Mshanajr alikuwa sahihiNdio tafsri ya jezi nzito? linda heshima yako mzee mshana
Hatuna hiyana..!! Liacheni litembee kila barabara ya JF. Hata huko kwenye kifo cha mende mkaliweke tu..!!Hilo basi labda mlitoboe matairi lisitembee mitaa hii ya JF 😀 😀 😀
Bado picha ya bwana George mpole..!! Muelezee na Kalpana kwamba George Mpole ni nani..!! Maana hamjuiNa nembo yao [emoji23]View attachment 2435656
Nimeyaona na sijashangaa..!! Timu tofauti kocha mmoja..!! Hakuna maajabu hapo. Yaani bwana jinsi alikuwa mwenye furaha muda wote..!! Maana ashinde yeyote au iwe suluhu au sale kwake haimuumizi..!! Watoto wa baba na mama mmojaMatokeo ya juzi kule kwa wagosi umeyaona kwanza?
Mmh[emoji848][emoji2827]Nimeyaona na sijashangaa..!! Timu tofauti kocha mmoja..!! Hakuna maajabu hapo. Yaani bwana jinsi alikuwa mwenye furaha muda wote..!! Maana ashinde yeyote au iwe suluhu au sale kwake haimuumizi..!! Watoto wa baba na mama mmoja
Katika mechi 49 za unbeaten Jezi nyeusi imetumika mara ngapi?Jezi zooote wamezikimbia sasa wanatumia KANIKI iwe nyumbani au ugenini. Mshanajr alikuwa sahihi
Nakemea uongo na unafikiKuna mahali nimesema hivyo? Kwanini hii mada inakuumiza sana? Games are just fantasies, don't get too much intrigued...!
Fafanua kwanza hizo Unbeaten 49 zimetoka wapi wewe chura na za Msimu huu ziko ngapi?Katika mechi 49 za unbeaten Jezi nyeusi imetumika mara ngapi?
Unaguna nini kwani kocha si ni mmoja?Mmh[emoji848][emoji2827]
Mgunda mna mkataba naye? Maana asije akafanya tukio mkamkana kama yule bwana NGADA kocha wa makipa..!! By the way, Mgunda hakuhama, bali, 'alihamishwa'Makocha wanahama timu, wachezaji wanahama timu! Hizi ni timu mbili tofauti kabisa
Ngalikihinja bana [emoji23] sasa hata sijui unataka kusema nini!? Naamini kama si Ihefu kupindua meza na SIMBA kumtundika mgosi 3 bila majibu haya yote yasingeyokeaMgunda mna mkataba naye? Maana asije akafanya tukio mkamkana kama yule bwana NGADA kocha wa makipa..!! By the way, Mgunda hakuhama, bali, 'alihamishwa'
Uvivu wako wa kusoma usisimbue watuFafanua kwanza hizo Unbeaten 49 zimetoka wapi wewe chura na za Msimu huu ziko ngapi?
Maaana unakimbilia 49 wakati hata hujui zimefikaje?
Tupe mrejesho mwanathimbaHii mada leo na kesho inaweza ikavamiwa tena ama ikapoa kutokana na matokeo yatakavyokuwa usiku.. Maana wandewa wana hasira zimewabana kooni [emoji23]