Jezi za Nigeria zatajwa kuwa ni nzuri kuliko zote kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2018, nchini Russia

We uyo ndugu yako we mwache tuu kuna muda hata mm napata sintofahamu[emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi ana nishinda kwa kweli
Baada ya kuwezea kwenye kukuchagua wewe tuu
Sasa machagulio yake yamekuwa ni hafifu
 
BILA KUPEPESA MACHO
HUU UZI NI MZURI SANA


HAWAJAKOSEA KUSEMA NDO UNAO ONGOZA KWA UZURI WC2018
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi ana nishinda kwa kweli
Baada ya kuwezea kwenye kukuchagua wewe tuu
Sasa machagulio yake yamekuwa ni hafifu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shem stakki kucheka mm bhana jioni hii aah[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…